Hakuishi Na Sisi huyu Sisi tumelelewa Na mama wa kufikia, au wa kambo
Sasa unataka kumsusa?unavyoleta mapingo pingo acha kupinga mzazi ni mzazi tu haijalishi hajakulea uwezi jua sbb
Hakuishi Na Sisi huyu Sisi tumelelewa Na mama wa kufikia, au wa kambo
Kuna watu wana mizigo mkuu, yani kuna time mtu anakuhadithia maswahibu anayopitishwa na mzazi wake hadi unajiuliza.
Huyu mzazi hamuhurumii kijana au binti yake?.. Anatumia ubongo huu huu
Imagine ukumbwe na mkasa wa mzazi kupiga bei nyumba ya familia na ndugu zako wapo humo humo. Tena amefanya kinyemela kwa sababu hati hazipo katika jina lake na inabidi watoto wachangishane pesa kwa sababu huyo mzazi hana pesa ya kulipa (alipopeleka pesa haijulikani) na ndugu zao wadogo hawana makazi. Imagine mkuu
Na hapa bado utawasikia watu wakimtetea, ni mzazi hakosei. Kweli mkuu
Wazazi wengine ni mtihani
Waone kama ni tamuKwahiyo analipiza kisasi?
Huyo ni wakufumua kabisaKuna dogo mmoja alimtembezea kipondo baba yake
Dogo kanunua bati zake kadhaa ili ajenge kaghetto kake dingi kazipiga Bei kaenda kula Bata na kichenchede chake😂😂
Kipondo ni next level ila hivi vitoto vya 2010 tuwe makini 😁😁Kuna dogo mmoja alimtembezea kipondo baba yake
Dogo kanunua bati zake kadhaa ili ajenge kaghetto kake dingi kazipiga Bei kaenda kula Bata na kichenchede chake😂😂
Kuna ambao hata wakipewa hela hawaridhikagi. Anapewa hela na huyu, analalamika kwa mtoto mwingine kuwa huyo mtoto hajamsaidia.Shida yake ni pesa sio vitu, uwe unamtumia tu pesa
Kuna muda wazazi wanazingua sana, ila ndo wazazi tayari tuwavumilie tu kama wao walivyotuvumilia......Kuna ambao hata wakipewa hela hawaridhikagi. Anapewa hela na huyu, analalamika kwa mtoto mwingine kuwa huyo mtoto hajamsaidia.
Kuna mama mmoja kila anachopewa anauza - nguo, chakula, .... Akipewa hela anahamia baa, zinakata chapu.