watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Graduates wa kibongo Bana. Yani graduate mzima eti anawasikitikia watoto walio pata zero form 4

    " Masikini watoto wa Kayumba za Likud wamepata zero kibao duh ndio kwisha habari Yao" Kuna watu kadhaa wame nitag kunikejeli Kwa hoja hii..cha ajabu ni kwamba watu hao wana jiita graduates eti🤣🤣🤣🤣 Kama wewe ni graduate, halafu unamsikitikia alie pata Zero form four Kwa kuona kwamba maisha...
  2. Fanton Mahal

    Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

    Wakuu heshima kwenu. Sipendelei sana kuingia deep kwenye mkasa mzima unaoihusu familia yangu , especially mimi na wife. Ila kwa kifupi tu, wife alizingua big big big time (usiulize nini maana ni ishu serious sana inayoweza husishwa na suala la uaminifu moja kwa moja) Na nilipotaka maelezo toka...
  3. W

    Watoto walazimishwe kuanza hustling likizo na weekends, Kizazi cha vijana wa sasa jobless ni matokeo ya kusoma sana wakati hakuna ajira za kutosha

    Zile zama za kuwa na uhakika wa ajira ukiwa na elimu zilishapita kitambo sana. Hali imebadilika mostly kuanzia 2010 soko la ajira za kisomi limekuwa gumu sana, Ajira nyingi inabidi uwe na CONNECTION aidha uwe na mtu wa kukushika mkono au umjue wa kumpa rushwa uingie, Ni kweli wapo wanaoingia...
  4. B

    Watoto wa 2012 tiyari wameanza kuingia sokoni?

    Siku zinaenda kasi! Vijana wa 1990-1993 mwanzoni nao tiyari wameanza kukuza! 👉Kimsingi Nimejifunza kitu kikubwa kutoka kwa msanii shetta ☑️Asije akatokea mtu akasema elimu ya Tanzania aina umuhimu ☑️Uhuni wa mzazi hauwezi kuathiri tabia za mtoto kama utaweza kuweka mipaka vizuri ☑️Katika...
  5. Financial Analyst

    Unakuta mwamba anaandika with confidence kabisa: "Wanaosomesha Watoto EMs na ISs wanapoteza pesa tu"

    🤣🤣🤣 Ndugu yangu ukata ni stage ya kila mtu, unapokuwa katika stage hii unakuwa stressed kutokana na limitations za bajeti yako so kinachofatia ni kujifariji kwa maamuzi unayofanya yaliyo ndani ya a "limited budget" , umejitahidi lakini pia haimaniishi ndio maamuzi bora kuliko ulioacha au...
  6. Mshangazi dot com

    Kwanini wanawake wengi hawataki kuzaa?

    Tujipumzishe kidogo na siasa na tuangalie masuala ya kijamii. Kwanini idadi kubwa ya wanawake hawataki kuzaa kabisa au hawataki kuzaa watoto wengi (zaidi ya wawili au watatu). Je tatizo ni uchumi, kuporomoka kwa misingi ya familia, tamaduni ngeni au kukosekana kwa sapoti ya kutosha kutoka kwa...
  7. B

    Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

    Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs . Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha Kayumba Sasa wameanza kufanya hivyo Kwa kasi ya ajabu. Jijini Dar es salaam pekee Kuna mafuriko ya...
  8. N

    Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    Kwa matokeo haya! Naipongeza sekretariati ya ajira
  9. W

    Watoto Media Library: Tupeane mapendekeza ya filamu, nyimbo au vipindi vinavyofaa kwa burudani, maadili na elimu ya Watoto

    Katika dunia ya leo, vipindi vingi vya kisasa vinaanza kuingiza maudhui yanayoweza kupotosha maadili, hata kwenye burudani za watoto. Ni jukumu letu kama wazazi na walezi kuchuja na kuhakikisha tunachagua cartoons, filamu, na miziki ambayo sio tu inaburudisha bali pia inalinda maadili mema na...
  10. SIPENDI SIASA

    Alafu nyie watoto wa kishua, sio kila mtoto wa uswahilini ni kibaka. Wakati mwingine, please show us some respect

    1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake umefungwa vizuri, kisha huyo bila salamu akarudi tena ofisini kuendelea na shughuli zake. NB: Sio kila...
  11. Mi mi

    Hizi ajira hazifai kugombewa na watoto waliosoma English Medium Schools[ EMS]

    Wazazi wa watoto waliosoma na wanaosoma hizi shule za EMS si vizuri kukubali au kuona mwanao hakiangaika baada ya kumaliza chuo na kuja kugombana hizi ajira za ajabu mshahara wake usiofika hata million moja. Utakuwa upotevu wa pesa mtoto kumsomesha kwa gharama kubwa ili kuja kugombania mshahara...
  12. Trainee

    Iangaliwe namna bora ya kuwanusuru watoto na madhara ya kitabia migodini

    Hivi mbona swali hili sijawahi kupata majibu yaliyonyooka? Ni kwa nini watu hawa wanatukana sana katika baadhi ya mazingira yao ya kazi? TANESCO (WAKIWA SITE) WANAJESHI (KWENYE OPERATION NA MAZOEZINI) WATU WA MADINI (MACHIMBONI) WAJENZI (WANAPOKUWA SITE) Na kadhalika na kadhalika, kiufupi kazi...
  13. Financial Analyst

    Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

    IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM. Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna...
  14. M

    Waombee watoto wenu dua kupitia jina la kuzaliwa

    HESHIMA KWENU kupitia maisha ya kila siku ni kweli kuwa jina hali define hatima wala halileti hela. ila kwenye dini zote tunasisitizwa IMANI MOVES MLIMA , tunaweza kuinvest majina kwa watoto wetu kwa nia ya dua, just believe and pray kwamba nampa jina hili linalomaanisha hivyi kama dua yangu...
  15. Stephano Mgendanyi

    Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
  16. Lambardi

    KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

    Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia. Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
  17. D

    Kwa wazazi wanaopitia Changamoto ya watoto kulia Usiku fanya yafuatayo

    Kuhakikisha mtoto wako halii usiku ni changamoto ya kawaida kwa wazazi wengi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa kuna mbinu zinazoweza kusaidia Hakikisha mtoto ana ratiba ya kulala inayofuatwa kila siku. Mfano, kumnywesha maziwa, kumnawisha, na kumweka kitandani kwa wakati mmoja kila siku Tumia...
  18. Rorscharch

    Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  19. Aaliyyah

    Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

    Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri NB Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa...
  20. Mikopo Consultant

    Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
Back
Top Bottom