Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Nimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃
Hawana mambo mengi,akipata msuba wake maneno mengi stori kibao.....(Woman are so complicate watu hudhani wanawake wanapenda sijui ustaarabu sana kumbe sivyo kabisa)Kuna namna wazee wa shoka wanaishi ambayo warembo wanapenda
Unakaribia kufa mkuu, unaanzaje kuelewa viumbe visivyojua akili zao huhitaji nini? Nitachangia jeneza lako bure mkuu.Wanawake wanapenda mwanaume asiyemjali sana wala kumpa time yake sana wala kujipendekeza kwake sana,
Mwanamke atampenda Mwanaume mwenye misimamo yake na asiye yumbishwa,Mwanaume ambaye yupo tayari kuachana nae muda wowote ule na hajali,
Mwanamke ukimpa sana time yako na kumjali sana,anakudharau,
Wanaume wengi hufanya opposite kwa wanawake,kumjali sana au kumtumia msg kila dakika,humfanya akudharau na kukushusha thamani yako
Usiseme mduanzi,mara nyingi mabebi wakali hawapendi mtu mstaarabu sana,by nature!..wanapenda mbabe fulani kwa mbali mcheshi mwenye base fulani,ukiwa na kasauti kako kembamba sijui sorry babe hawapendi kabisa hiyo kitu.Sio kweli utafiti wako haukukamilika kumiliki pisi kali ni maamzi ya mtu , ukiona pisi kali inatoka na mdwanzi ililinga sana imekuja kusanuka dakika za tisini inakua haina cha kupoteza tena
Wewe wala hukaribii kufa,kwa ulichokiandika hapo ni umeshakufa tayari.Uahakaribia kufa mkuu, unaanzaje kuelewa viumbe visivyojua akili zao huhitaji nini? Nitachangia jeneza lako bure mkuu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Wa gumu hata wakoloni wali tuelewa sema kwenye vitabu shule huwezi Kuta huu ukweliNimejiuliza sana juu ya hili bila kupata majawabu hebu tujuzane hapa!,wazee wa shoka huwamega watoto wakali sana,au kwa sababu hawana kuremba remba na ubishoo mwingi?🧐🧐😃View attachment 3683831
Lini nilielewa viumbe visivyoridhika hata vilivyoumbwa vikaamua kuweka mishepu feki kupitia plastic surgery, kumeza vidonge, kupakaa dawa ili vinivutie?Wewe wala hukaribii kufa,kwa ulichokiandika hapo ni umeshakufa tayari.
Mbamizwa supa nn kimetokea umempelekea moto Kant......ombe mpk kaenda kwa mabwana zake kushtakWanaume wa Shoga labda huwaridhisha hao watoto wakali kwa kusugua mbunye kwa kisigino Chenye gaga kama ambacho kinaonekana kwenye picha yako hiyo.