Harusi za Dar: Watoto wawili, wameishi miaka 10 alafu nichange 200,000/-?

Harusi za Dar: Watoto wawili, wameishi miaka 10 alafu nichange 200,000/-?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Vijana wa Dar es salaam, mara tu baada ya kuingia chuuo kikuu, mwaka wa kwanza , ananza kuishi na mwanamke kama mume na mke, baada ya miaka 2 wanakuwa mke na mume kisheria(presumption of marriage).
Wanahitimu na kupeana mimba maana huwa wanafanya mapenzi kila siku bila kutumia kondom.
Wanapata watoto na wanaingia mtaani na kuishi na familia kutembeleana.
Mtoto anaanza shule anafika darasa la saba , wakati yupo mafundisho anatakiwa apate komunyo Padri anasema lazma wazazi wafunge ndoa.
Jamaa , anaibuka anaanza kuomba michango eti naye anaoa, mtu umezini miaka 10 yote unakuja kusumbua watu, si uend bomani au mchukue akiba yenu?

Ndoa ni kijana anatoka kwake ama kwao , anaoa binti bikra ambaye hajawahi kufanya naye mapenzi, ndio wanavaa shela jeupe na tunachanga hata bila kuombwa michango!

Siku hizi unamuoa mke wako au unaolewa na mume wako,alafu unachangishwa mchango wa 100000 na mtu anayemuoa mke wake waliyeishi miaka 15 na Wana watoto watatu
😂
😂
😂
😂
 
Hata hizo ndoa za bomani huchangiwa mjuba. Halafu usiseme wamezini, hapo hakuna uzinzi, ni mtu na mke wake wanatetekeleza tendo la ndoa sawa na wanandoa wengine tu walioenda kanisani/msikitini kufungishwa ndoa. Tendo ni lile lile na ladha ni ile ile, msiseme ule ni uzinzi
 
uume na uke vinapokutana baada ya ndoa nidio tendo la ndoa, kabla yahap , haijalishi miaka mingapi ni wazizni wawili walio kubuhu.
Sheria ya ndoa ya 1971, nayo haiwatambu kama wanandoa ila wazinzi wanaoishi pamoja, mda wowote unaweza kuichapa ya jirani bila kesi maana ni wazinzi.
 
sheria ni setting mind tu mjuba, kujamiana kupo palepale bila kujali wajamianaji wamefunga ndoa au la. Hakuna uharamu hapo, hilo ni tendo la kibayolojia kwa viumbe hai hujamiana
 
Maisha ya siku hizi hayahitaji sana ndoa ili uanze kufanya maisha au kujenga familia, tofauti na wazee wetu wa zamani.
sawa kabisa, nilishazikiliza mapastari kama wawili hivi kwa nyakati tofauti wakihubiria vijana kuwa ndoa ni shughuli pevu, si ya kuikimbilia, wanasema ingekuwa umri wao unarudi nyuma wasingekuwa na haja ya kuoa, kwani ndoa zina suluba kubwa sana
 
Back
Top Bottom