Harusi za Dar: Watoto wawili, wameishi miaka 10 alafu nichange 200,000/-?

Hivi haiwezekani kweli watu wakafanya harusi Yao wao wenyewe na watu wao wachache Sana, harusi isiyo na gharama za ajabu ajabu sijui miziki, gharama za MC na ukumbi, misosi tani kumi nk... kwasababu Mimi naona mbona harusi anayeoa Tu peke Yake anaweza yeye mwenyewe kuandaa hiyo harusi bila kuchangiwa hata wa Mia mbovu na watu!.
 
Ndoa siku hizi ni biashara, imekua km sehemu ya kuwainulia watu tofauti na kipindi cha nyuma.
Gharama zote hizo kwa jambo la siku 1 au 2.
 
Back
Top Bottom