Picha muhimu sana kwenye uzi huuKuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Mbona huwa naona vichwa vya Wazanzibar wengi vya kawaida tu kama vya Watanganyika!
Kumbe ndo sababu wengi wao ni akili kisodaKuna ukweli kiasi gani Wazanzibar walikuwa wanafinyanga vichwa vya watoto kutengeneza shepu nzuri za kichwa kwa kupunguza vichogo?
Labda wangukuwa wanavaa baragashia za chuma.Labda vibaragashia wanavyo vaa kichwani vinashape bichwa
chuma yaumiza kichwa bwasheee, wataka watu watoke minundu kwenye vichwa vyao bwasheee (Lafudhi ya pwani)Labda wangukuwa wanavaa baragashia za chuma.
Kuna wengine wanatafuta kitu kama pipe (plastiki) ndogo wanakichoga kimtindo, halafu wanaingiza pua ya mtoto mdogo kwenye hiyo bomba ili mtoto awe na pua kama ya mzungu.Niliwahi kushuhudia dada binadamu Kituo cha afya anakanda mwanae kichwa.!
Sikuuliza sana wao walikuwa wakubwa mimi mdogo
Lakini kitu ambacho nakumbuka na nasikitika ni yule Dogo alikuwa analia mpaka anatema udenda na kucheua kwa hasira.. Lakini wapi.!
Dunia hii shukuru kama hujazaliwa na Wazazi Vilaza ndio wazazi Vilaza ni laana
Ulezi sio ishu hata kuku analea
Yakhee, wantakia nini miyee!chuma yaumiza kichwa bwasheee, wataka watu watoke minundu kwenye vichwa vyao bwasheee (Lafudhi ya pwani)
Mie sina neno yakhee mambo yao twaachie wenyewe na mibichwa yaoYakhee, wantakia nini miyee!
Kwakweli hiki ni kitu kipya kwangu!Kuna wengine wanatafuta kitu kama pipe (plastiki) ndogo wanakichoga kimtindo, halafu wanaingiza pua ya mtoto mdogo kwenye hiyo bomba ili mtoto awe na pua kama ya mzungu.
Ajabu ni kwamba hii mbinu inafanya kazi, maana kuna mtoto ambaye alikuwa na pua kubwa kama ya Jonas Savimbi, lakini baada ya kufanyiwa mchakato huu sasa ana pua kama Benjamin Netanyahu, nilishangaa sana aisee!
Seran,
leo dada,
Mallerina,
Yoda,
Dr am 4 real PhD, mnaijua hii?
Kabisa.Mie sina neno yakhee mambo yao twaachie wenyewe na mibichwa yao