DHANA POTOFU YENYE MADHARA MAKUBWA: KUENDELEA KUTESEKA KISA WATOTO MWISHOWE MNAUANA.

Miguel Felix Gallardo

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2024
Posts
2,841
Reaction score
5,218
NDUGU WATANZANIA HASA WANAUME NAOMBA TUBADILIKE.

HATA KAMA TUMEUMBIWA MATESO.KUNA VITU KAMA HESHIMA NA UTI USIPOKUWEPO AU KUUPATA KUTOKA KWA MWANAMKE HALI YA HEWA HUMO NDANI ITAKUWA YA MVUA ZA EL NINO.KUEPUSHA SHARI KAMILI PIGA CHINI MAPEMA.USIPUUZIE RED FLAGS🚩🚩🚩

HUNA UWEZO WALA KIPAWA CHA KUMBADILI MTU MZIMA MWENYE MENO 32 PLUS ALIYELELEWA TOFAUTI NA WEWE.USIJIPE MOYO NA UMUHIMU KWENYE MAISHA YA WATU.IMESHINDIKANA KUBALI YAISHE.

WATOTO WATAKUWEPO NA WATAENDELEA KUEPO.HATA MKIBAKI NA MIGOGORO YENU BADO MTAENDELEA KUWATHIRI WATOTO.

UKIWA MMESHINDWA KUENDELEA NA NDOA NI BORA MUACHANE.HUU UJINGA WA KUENDELEA KUVUMILIA YASIYOVUMILIKA NDIO HUSABABISHA UKOO NA FAMILIA ZENU ZIKAPATA UMAARUFU BAADA YA MMOJA WENU KUSHINDWA KUHIMILI MAUMIVU.

JAMII YA KIAFRIKA NA HASA TANZANIA.TUACHE DHANA POTOFU.HURUMA ZAKO KWA WATOTO NI MAUMIVU BADALA YA MSAADA!!!

IFIKE MAHALI TUAMBIZANE UKWELI,NYEUPE IBAKI NYEUPE NA NYEUSI IWE NYEUSI.

#AFYA YA AKILI NI MUHIMU KWA KILA MTU.
 
Ukizaa lazima uwajibike, be responsible for your choice, walipokuwa wanakula bata walikula wao na sasa maumivu wamekula wao, Sisi hayatuhusu tunaendelea kuvumilia tulee watoto wetu kwa furaha
 
Ndoa ni uvulimivu tofauti na hapo umeshakubali KATAA NDOA TU, naunga mkono hoja.
Nawaonea huruma hawa ndugu zetu katika jinsia.

Hakika wamepanda mtumbwi wa vibwengo😄😄😄.

#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI KAMA WA CHIVAYO!!!
 
Hayo mambo ya makafiri sisi kobaz mapema sana unarud kwa wazaz

Angalia asilimia 100 ya kesi zote za kuuana za ndoa Tanzania zinahusu wakristo
Oya ustadhi jon sins😄😄😄 umenena ukweli ila dah why Jon sins??!!
 
Hayo mambo ya makafiri sisi kobaz mapema sana unarud kwa wazaz

Angalia asilimia 100 ya kesi zote za kuuana za ndoa Tanzania zinahusu wakristo
Kobaz kwenye hilo mko vizuri,.mtu anaweza kuolewa hata mara tatu kwa mwaka, SIWA
 
Kikubwa watu hawauani, mkichokona kila mtu anatafuta chaka jipya
Na nasikia mirathi ya kiislamu unakula percent hakuna Kuchivayochivayo,( umangamanga).watu wanatembea na 1/8,1/4,1/2.

Na mali ya marehemu inagawiwa kwa mpaka ndugu wa mwanaume.Hii sheria ni mwiba wa kookwa wale wanawake wenye tamaa ya mali hii ingewafaa zaidi.

Mkuu John Sin Kama unakaPDF ka huo muongozo embu fanya kushare tuijue hiyo sheria za mgawanyo wa mali na kanuni zake.
 
Back
Top Bottom