Zerock
JF-Expert Member
- Sep 3, 2026
- 853
- 1,701
Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike.
Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi.
Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari,
Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia /inayomzunguka.
Mtanganyika asilimia kubwa mtoto wa kiume umtorosha mtoto wa kike na kumficha ndani kwa siku kadhaa au wiki moja,tena kwa kushirikiana na wazazi wake,
Baada ya wiki,mzazi wake wa kiume ataenda kwao na mtoto wa kike kukitambulisha (UJINGA)
Bahati mbaya pande zote mbil hazijui maana na thamani ya mahari wala wazazi wa mtoto hawajui thamani ya mtoto wao,wala mtoto mwenyew hajui thamani yake, maana kishachezewa na kila mtu.
Kwa mfano umekulia kwenye huwo mfumo wa hiyo jamii na unaona watu wanaoana bure kila siku/mwaka tena kutoroshana,utashindwaje kutetea UPUUZI kama huwo...?
Wazaz wako kuanzia babu yako hadi baba yako pande zote mbili wameoana kwa njia hiyo....
Kwa akili ulizonazo utahisi ni utamaduni wenu na haki yenu kuoa bila mahari.
Nani alikwambiya kumutolea mahari mwanamke ni sawa na kununua au kumuuza?
Watanganyika acheni wizi na dhuluma kwa wanawake.