Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Mafanikio ya mtu huanza tangu utotoni kama mtoto kalelewa katika maisha ya utegemezi wa mzazi mmoja tayari unamjenga huyo mtoto naye kuwa tegemezi .
Angalia mfano watoto amabao mama zao sio tegemezi halafu ulinganishe na ambao mama zao ni tegemezi utashangaa
Angalia mfano watoto amabao mama zao sio tegemezi halafu ulinganishe na ambao mama zao ni tegemezi utashangaa