Mali za urithi ni noma. Hadi watoto wa kishua wanakabana.Nilidhani wa Uswazi tu

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Mali za urithi ni balaa
👇
1000190643.jpg
 
Kaskazin ndio wana ongoza kugombea mari sana huwezi kuta wazaramu na huo ujinga wao wanacho angalia kama walijengewa nyumba magomeni nyumba hiyo hawata iuza mpaka ina titia chini mtu akitaka kufanya marekebisho ana fanya chumba chake tu
 
Hawataki mmoja aje afanye marekebishi then aanze kunyanyasa Wenzake wakati wote Mali wamezikuta
 
Na wakubaligi kwa ilo tu yaan wanagawana vyumba ata ukitaka kupangisha wala hawata kuuliza umeme mtu ana jitolea leo ana nunua wa buku wanalala utakapo isha mwingine ana endeleza gurudumu njoo sasa kwa watu wa kaskaz mtu ana taka kama ni gorofa hati isomeke jina lake na yeye ndio awe msemaji mkuu
 
Mnaendeleaje huko Machame/Rombo/Kibosho mdau?
 
Kaskazin ndio wana ongoza kugombea mari sana huwezi kuta wazaramu na huo ujinga wao wanacho angalia kama walijengewa nyumba magomeni nyumba hiyo hawata iuza mpaka ina titia chini mtu akitaka kufanya marekebisho ana fanya chumba chake tu
Labda wazalamu wa Njombe huko daslm si wametoka wote hapo kariakoo na hiyo magomeni wanaendelea kuuza kila kukicha.
 
Huwa sielewi ni kwa nini watu wanagombania mali za urithi, mimi nilipewa nyumba ya urithi nika ikataa kwa sababu nilihisi mbeleni itaniletea migogoro
 
Back
Top Bottom