Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
- Thread starter
- #21
Ulimwachia nani?Huwa sielewi ni kwa nini watu wanagombania mali za urithi, mimi nilipewa nyumba ya urithi nika ikataa kwa sababu nilihisi mbeleni itaniletea migogoro

Ni kweli iko wazi lakini wahusika wakiamua kwenda mahakamani hakuna kitu uislam utafanyaUislam umeweka uwazi ktk mirathi