FT: PSG 4-2 FC Barcelona | UEFA CL | Parc des Princes | Barcelona amepasuka vibaya sana

hydroxo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
6,772
Reaction score
15,651
Usiku wa saa 4 ya leo kwa mara nyingine tena kutakuwa na mechi ya kibabe barani ulaya kwenye Ligi ya Mabingwa (UEFA Champions League) ikiwakutanisha miamba hii miwili ya soka pale Parc des Princes (Ufaransa).

Kwa upande mmoja ni bingwa wa ligi ya ufaransa na ligi ya mabingwa ulaya Paris Saint-Germain(PSG) FC.

Na upande mwingine ni bingwa wa la liga FC Barcelona.

Mara ya mwisho timu hizi kukutana PSG ilishinda kwa goli 2 dhidi ya goli 1 la FC Barcelona.

Mpaka sasa Barcelona ameshacheza mechi 9 za la liga na mech 2 za klabu bingwa bila ya kufungwa wala ku draw hata mechi moja.

Wakati huo PSG ameshinda mechi zake zote mbili za ligi ya mabingwa, ame draw mechi 2 na kufungwa 1 katika ligi kuu ufaransa.

Barcelona wanaonekana wapo kwenye form nzuri zaidi kuliko PSG.

Kwa upande wa majeruhi ya vikosi vyao;

Barcelona watamkosa beki wake wa kulia(RB) Jules Kounde na beki wa kati(CB) Eric Garcia.

Kwa upande wa PSG watamkosa beki wake kisiki wa kushoto Nuno Mendes.

Je nani kuibuka mshindi kati ya miamba hii miwili yenye kucheza soka safi na la kuvutia balani ulaya?

Karata yako unaitupa wapi?
IMG-20261020-WA0007.jpg
 
Karata yako unaitupa wapi?View attachment 3694436
Leo ndio leo
 
Barca Wana kikosi kipana kidogo coz ukiangalia benchi Lao kuna watu wanaweza kubadilisha mchezo, hata hivyo PSG Wana quality kubwa unaiona karibu Kwa Kila mchezaji...Ngoja tuone na high line ya Barca.
 
Back
Top Bottom