SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
Wacongo si wachezaji wenye akili mara nyingi. Mimi binafsi huwa siwakubali waswahili swahili sana. Huyu dogo galasa naye anataka kutunushiana misuli na club kubwa afrika? Ana akili huyu? Anajielewa kweli?
Ni usiku wa kawaida jijini Mbeya. Clara, binti mrembo mwenye tabasamu la upole lakini macho yenye siri nzito, yupo na marafiki zake wawili pamoja na mpenzi wake, Anthony. Wanaketi kwa utulivu wakifurahia biriani na bia, wakicheka kwa sauti nyororo zinazopotelea gizani.
Katika mtiririko huu wa...
Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM.
Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM
Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana kuwatengeneza vijana ambao ndiyo viongozi wa sasa, lakini wenyewe wamegeuka kuwa waharibifu kwa vijana...
Hii ni mifano halisi kwa malipo ya serikali bila risiti:
1. Huduma za afya hospitali ya wilaya Sengerema.
2. Kupita juu ya daraja la Busisi ili kuepuka adha ya ferry hasa nyakati za usiku.
Kwamba huu kumbe ndiyo ulio utaratibu wa kawaida Sengerema huku!
Kulipishwa huduma kwa niaba ya...
Kweli maisha ni safari ndefu sana......
Nimekumbuka kisa kimoja miongo kadhaa nyuma.....wakati najitafuta nilijikuta nimepata hifadhi kwa Kaka yangu( Mola amrehemu).........Shemeji ilionekana hakuridhia uwepo wangu pale ingawa nilikuwa muda mwingi sipo nyumbani.....
Niliyajua hayo kupitia...
Kwa maoni yangu Islael ndo magaidi mana walivamia nchi ya watu na wanaendeleza ugaidi.
Ee Mungu wahurumie na waokoe wapalestina.
Mimi mkatoliki mwaminifu.
Wengi hawamjui cheetah ni yupi
Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ?
Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana !
Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya maisha na uwindaji wao.
Hii ni thread maalum ya cheetah, je cheetah ni nani ?
Master of speed...
Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika
Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa!
Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu
Nikaamua kuuchuna
Mtoto wa pili kazaliwa
Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa
Mwenzenu...
Matunda ya Amarula tumeyala sana utotoni, ni matunda ndani yako kama ilivyo embe sema yana uchachu kwa mbali sana na pia yanalewesha ukila mengi hivyo yulikuwa tunakula kiasi tu. Ukiachana na tunda ila pia kwa ndani kulikuwa na karanga, zile. ndoi haswaa tulikuwa tunapenda ila ni kupasua kwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
Lissu na kundi lake wakati wa Korona walifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown. Hivi aliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga, kwamba kula yao ni lazima watoke? Magufuli alijua aina ya maisha ya watu wake na mbinu gani aitumie. Kwa muda ule, Lissu angekuwa...
Habari zenu wakuu poleni kwa majukumu
Kipindi nipo young ikifika mda mshaoga mnakalishwa chini TV inawashwa, CD inatupiwa ndani ya deck tena zile ZEC og, shwaah inaimeza.
Hamjakaa sawa haha mara paah anatokea huyu mwamba
Unaskia
"Saidia kukuza ubora wa filamu Tanzania saidia kuinua wasanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.