Kutumia Biblia au Quran kujenga hoja katika mjadala wa umma ni ishara ya akili ndogo

Kutumia Biblia au Quran kujenga hoja katika mjadala wa umma ni ishara ya akili ndogo

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Huwa nashangaa sana Watanzania wengi wanaokuja na rejea za Biblia au Quran katika kujenga hoja kwa mijadala ya kijamii/ umma inayobishaniwa au kujadiliwa.

Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
 
Utasikia "Quran imemaliza kila kitu". Haya tutajie basi aya iliyotaja ChatGpt

"Hakuna jipya chini ya jua" ni wapi kwenye Biblia wamesema Mussa alitumia drones kuyaangamiza majeshi ya Farao?
 
Utasikia "Quran imemaliza kila kitu". Haya tutajie basi aya iliyotaja ChatGpt

"Hakuna jipya chini ya jua" ni wapi kwenye Biblia wamesema Mussa alitumia drones kuyaangamiza majeshi ya Farao?
Yani watu wa aina huwa ni vibuyu haswa.
 
Nafikiri hii ni mojawapo ya ishara ya akili ndogo na ujinga mwingi katika taifa.
Akili yako ni ndogo weka mzani tukupime labda tujue akili yako ina uzito kiasi gani jiwe hujalitupa gizani

Mimi naweka mistari kwa kushabihihana na kile kilichoandikwa kwenye mada unataka kusemaje?
 
Back
Top Bottom