Hiki kisa cha ufufuo Sura ya Ng'ombe, Quran tukufu ni cha kusisimua sana.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Surah Al-Baqarah (2:67–73) au kwa kibantu sura ya Ng'ombe ayat 2:67-73.

Katika hii story ya Quran kulizuka mzozo katika kisa cha mauaji ambapo watu walibishina kuhusu mauaji ya mtu fulani. Musa akaambiwa achinje ng'ombe kisha alipomchinja akaambiwa achukue kipande kimoja cha nyama (sijui ilikuwa ni mnofu, mbavu, salala au kipande kipi) kisha ampige nacho yule maiti, ndipo maiti akafufuka akawataja wauaji wake.
 
Kwa akili ya vilaza na wenye akili fupi watasema haiwezekani
 
Sura ya ng’ombe
Ng'ombe akachinjwa
Nyama ya ng'ombe ikafufua

Kumbe ndo mana nyama ya ng’ombe ni tamu vile, kumbe inafufua waliokufa 🙌
 
😁😁 UTAPELI TU alioanzisha yule pedophile na wapumbavu pekee ndio watamuamini
 
Back
Top Bottom