quran

  1. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Quran kufanyika sehemu nyingine tarehe 17 mwezi wa nne?

    Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa. Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup. Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kuhifadhi Quran kuanza Aprili 10

    Mashindayo ya Quran ya kitaifa na kimataifa yanatarajia kuanza Aprili kumi ya mwaka katika viwanja vitatu tofauti Mkapa, Mnazi mmoja pamoja na Diamond Jubilee. Mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka na kushirikisha watu kutoka maeneo mbalimbali ya ndani ya nchi na nje ya nchi yameandaliwa...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Auawa na kundi la watu kwa kuchoma Quran

    Mtu mmoja ameuawa na kundi la watu kwa madai ya kuchoma kurasa za Koran katikati mwa Pakistan, Khanewal, polisi wanasema, katika tukio la hivi karibuni la vurugu zinazohusiana na kukufuru ama kukashifu dini nchini humo. Polisi wanasema zaidi ya watu 80 wamekamatwa kuhusiana na mauaji hayo siku...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
  6. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Apple yashinikizwa na China kuondoa app maarufu ya Quran

    Shirika la Apple limechukua uamuzi wa kushangaza wa kufuta apu hiyo yenye Qur'ani Tukufu kwa lugha asili ya Kiarabu na pia tarjuma kwa lugha nyinginezo pamoja na mafundisho mengine ya Kiislamu. Apu hiyo imefutwa kwenye jukwaa la App Store lenye kubeba aplikesheni zote za simu za iPhone na iPad...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Darsa la Sheikh Abdallah Iddi Chaurembo miaka ya 1970

    DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970 Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi. Naangalia ujana wangu ulivyoondoka kama moshi na nawakumbuka masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki. Nawaona kama jana vile...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tukiwa jamii iliyostaarabika, lipi ni kosa kubwa na zito zaidi kwetu kati ya kuua mtu au kuchana kitabu cha dini kama Quran au Biblia?

    Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

    Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa. Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Mtumishi wa Serikali aliyechana Quraan Tukufu asimamishwa kazi, Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo. RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha...
Back
Top Bottom