Na ukiwa na sauti ya zege itapendeza zaidi.Msemao mwingine. "Nunua suti kali, kariri baadhi ya vifungu vya kisha tangaza kuwa wewe ni nabii, hapo utapiga pesa nyingi".
Kuna msemo kwamba;
Nunua Biblia usiisome utakuwa mkatoliki,
Nununua Biblia soma tu yale yanayokupendeza utakuwa mlokole
Nunua Biblia isome kwa undani na ichambue vizuri utakuwa asiyeamini mungu (Atheists)
View attachment 3689960
Gwajima yeye anatumia kipaji chake cha COMEDY na uwezo wake kama PATHETIC LIAR kufikisha ujumbe! 😁Na ukiwa na sauti ya zege itapendeza zaidi.
Duh !Kuna msemo kwamba;
Nunua Biblia usiisome utakuwa mkatoliki,
Nununua Biblia soma tu yale yanayokupendeza utakuwa mlokole
Nunua Biblia isome kwa undani na ichambue vizuri utakuwa asiyeamini mungu (Atheists)
View attachment 3689960
Wewe imani ni ipi ?Kuna msemo kwamba;
Nunua Biblia usiisome utakuwa mkatoliki,
Nununua Biblia soma tu yale yanayokupendeza utakuwa mlokole
Nunua Biblia isome kwa undani na ichambue vizuri utakuwa asiyeamini mungu (Atheists)
View attachment 3689960
Ona jamaa alivyowapiga hela watu. Uchungaji unalipa sana.Gwajima yeye anatumia kipaji chake cha COMEDY na uwezo wake kama PATHETIC LIER kufikisha ujumbe! 😁
Hahahhhh sema ayayaaaa...Msemao mwingine. "Nunua suti kali, kariri baadhi ya vifungu vya kisha tangaza kuwa wewe ni nabii, hapo utapiga pesa nyingi".
Mimi nasoma vyote.... Mpaka na injili za kina mariam.Kuna msemo kwamba;
Nunua Biblia usiisome utakuwa mkatoliki,
Nununua Biblia soma tu yale yanayokupendeza utakuwa mlokole
Nunua Biblia isome kwa undani na ichambue vizuri utakuwa asiyeamini mungu (Atheists)
View attachment 3689960
Nani mtenda miujiza? 😎Hahahhhh sema ayayaaaa...
Kikubwa ni kuomba MUNGU akusaidie kulielewa neno!Ndio hivyo! Hivi vitabu vya dini ukiwa mzamivu kupitiliza unageuka almost shetani tofauti na malengo yaliyokusudiwa!
Huwezi piga hela nyingi wala kujaza watua kama huna liroho la uaguzi.Msemao mwingine. "Nunua suti kali, kariri baadhi ya vifungu vya kisha tangaza kuwa wewe ni nabii, hapo utapiga pesa nyingi".
Ukiwa mjanja watu wajinga lazima uwapige. Haijalishi una hiyo roho uliyoitaja ama la.Huwezi piga hela nyingi wala kujaza watua kama huna liroho la uaguzi.
Wanaojiita manabii walio wengi wanaagua (wanafanya divination) na siku ukijaa kwenye mfumo wao kama huna maarifa utapigwa