Kama hutaki kuwa Atheist au imani yako iyumbe usiisome Biblia kwa undani

Sujui,
Ila nina uhakika mungu wa Ibrahim (Wa Wakristo, Waislamu na Wayahudi) hayupo.
Watu , Sayari na vilivyomo ulimwengu chanzo chake ni uumbaji au vilitokea tu naturally ?
 
Kuna msemo kwamba;

Nunua Biblia usiisome utakuwa mkatoliki,

Nununua Biblia soma tu yale yanayokupendeza utakuwa mlokole

Nunua Biblia isome kwa undani na ichambue vizuri utakuwa asiyeamini mungu (Atheists)

View attachment 3689960
Mungu siyo biblia wala mungu siyo ukristo wala mungu siyo uislamu wala mungu siyo dini ...tumia akili mleta uzi ...kabla ya kuwepo kwa Dini Mungu yupo.
 
yaani uielewe Biblia kwa akili za a,e,i,o,u bila msaada wa Roho Mtakatifu?,....labda
 
vipi kwenye hali ambayo watu tofauti waliopata huo msaada na wao wanaelewa tofauti?
 
yaani uielewe Biblia kwa akili za a,e,i,o,u bila msaada wa Roho Mtakatifu?,....labda
Mkatoliki anayekunywa pombe mlokole asiyekunywa pombe na Msabato anayesali Jumamosi nani ameelewa kwa msaada wa roho Mtakatifu?
 
nitaelewa nn wakati hilo ni issue binafsi?
 
Na hili ndilo tatizo kubwa zaidi, kama kila mtu anaongozwa kibinafsi na huyo roho Mtakatifu kila kitu kinawezekana na kila kitu ni halali na kila kitu ni kweli, ni total chaos.
 
Umeanzisha uzi ukiwa na majibu yako

Unata watu wajifarague tu
 
Back
Top Bottom