Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika kitabu cha Waamuzi 11 kuna bwana mmoja alimtolea mungu nadhiri ahadi ya kwamba mungu akimsaidia akashinda vita dhidi ya maadui wake kiumbe chochote cha kitakachokuwa cha kwanza kuja kumpokea akiwa anatoka vitani atakitoa sadaka kwa moto wa kuteketezwa.
Binti yake alikuwa wa kwanza kumpokea akiwa anatoka vitani na huyo bwana ilibidi atimize ahadi/nadhiri yake kwa kumtoa binti yake sadaka kwa mungu wa Israel kwa majonzi makuu.
Binti yake alikuwa wa kwanza kumpokea akiwa anatoka vitani na huyo bwana ilibidi atimize ahadi/nadhiri yake kwa kumtoa binti yake sadaka kwa mungu wa Israel kwa majonzi makuu.