Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
17,595
Reaction score
39,893
Moja kwa moja...

Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa maneno ya kejeli na dhihaka kwa Mwanaume kufuga ndevu jambo hilo ndilo likanifanya nije na huu Uzi ili kuelimisha kuhusiana na swala hilo ..

Echomali kwenye uzi mmoja nilimuuliza inakuwaje unakashifu muonekano wa Kiume upo sawa kweli genotypically wakati hata Mitume na Manabii wa kale ambao wakristo pia wanawakubali walikuwa na ndefu na maandiko yana suggest hivyo ? Jamaa akaendelea ubishi na ujeuri eti hayo maandiko nimetoa kwa Gaidi Ayatollah , sasa naweka rasmi hayo maandiko kisha yeye na wana Jf mseme ni yametoka kweli kwa Gaidi Ayatollah ?
IMG_20261010_094634.jpg

1. Sheria na Maagizo kwa WanaIsraeli kuhusu ndevu

Walawi 19:27: "Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu."

Walawi 21:5: "Wasijipatie upara kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala kujikatakata miili

2 . Ishara ya heshima , Dharau na Fedheha
IMG_20261010_100231.jpg

Ezra 9:3: "Basi niliposikia neno hili, nilirarua vazi langu na joho langu, nikang'oa nywele za kichwani mwangu na za ndevu zangu, nikaketi nikiwa nimeshangaa

3. Maandiko mengine ya Bible ikionyesha Manabii walikuwa na ndevu .

Hili tukio linalomuhusu Daudi na linaonyesha alikuwa na ndevu
IMG_20261010_101006.jpg

Maandiko na matukio na Ushahidi upo mwingi kufupisha Uzi naishia hapa na nakaribisha mijadala na hoja zote

#UziTayari
 
Moja kwa moja...

Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa maneno ya kejeli na dhihaka kwa Mwanaume kufuga ndevu jambo hilo ndilo likanifanya nije na huu Uzi ili kuelimisha kuhusiana na swala hilo ..

Echomali kwenye uzi mmoja nilimuuliza inakuwaje unakashifu muonekano wa Kiume upo sawa kweli genotypically wakati hata Mitume na Manabii wa kale ambao wakristo pia wanawakubali walikuwa na ndefu na maandiko yana suggest hivyo ? Jamaa akaendelea ubishi na ujeuri eti hayo maandiko nimetoa kwa Gaidi Ayatollah , sasa naweka rasmi hayo maandiko kisha yeye na wana Jf mseme ni yametoka kweli kwa Gaidi Ayatollah ?View attachment 3687826

1. Sheria na Maagizo kwa WanaIsraeli kuhusu ndevu

Walawi 19:27: "Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu."

Walawi 21:5: "Wasijipatie upara kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala kujikatakata miili

2 . Ishara ya heshima , Dharau na FedhehaView attachment 3687830
Ezra 9:3: "Basi niliposikia neno hili, nilirarua vazi langu na joho langu, nikang'oa nywele za kichwani mwangu na za ndevu zangu, nikaketi nikiwa nimeshangaa

3. Maandiko mengine ya Bible ikionyesha Manabii walikuwa na ndevu .

Hili tukio linalomuhusu Daudi na linaonyesha alikuwa na ndevu View attachment 3687838

Hayo ni maandiko ya Wayahudi, sio ya Wakristo
 
Maoni yangu binafsi ;

Uchunguzi wangu unaonyesha Wakristo wengi hawasomi Biblia yao kwa ukamilifu na kuchunguza kwa makini ndio maana ni kawaida sana Mkristo kubisha kitu ambacho kinapatikana kwenye bible kama vile hakipo , sasa sijui kitabu kinakuwa na kazi gani na kwa nini mtu usiisome na kuichunguza Imani yako ?
 
Soma vizuri na elewa mada .

Sijasema Ukiristo mada inazungumziwa kuhusiana na maandiko ya bible kuhusiana na ndevu na sio mtizamo wa Ukiristo.

Vilevile imelenga kutoa Ushahidi kuhusiana na suala la ndevu kuwa hata watu ambao Ukiristo unawaheshimu walikuwa na ndevu
 
Kusoma ni jambo moja na kuelewa context of the content ni jambo jingine!
 
Soma vizuri na elewa mada .

Sijasema Ukiristo mada inazungumziwa kuhusiana na maandiko ya bible kuhusiana na ndevu na sio mtizamo wa Ukiristo.

Vilevile imelenga kutoa Ushahidi kuhusiana na suala la ndevu kuwa hata watu ambao Ukiristo unawaheshimu walikuwa na ndevu
Ndevu sio jambo muhimu kwa Wakristo
 
  • Thanks
Reactions: 627
Maoni yangu binafsi ;

Uchunguzi wangu unaonyesha Wakristo wengi hawasomi Biblia yao kwa ukamilifu na kuchunguza kwa makini ndio maana ni kawaida sana Mkristo kubisha kitu ambacho kinapatikana kwenye bible kama vile hakipo , sasa sijui kitabu kinakuwa na kazi gani na kwa nini mtu usiisome na kuichunguza Imani yako ?

inawezekana uko sahihi kwa kiasi fulani khs kusoma Biblia, muslims wanasoma Biblia zaidi wakati mwingine klk hata Christians kwa maana bila ya hivyo hawana hoja, hawana cha kujadili bila ya kufanya reference kwenye Bible, wkt Christians wanaweza tu kusoma Biblia bila ya kufanya reference popote isipokuwa Biblia yenyewe, shehe mwaipopo bila ya Biblia hana cha kuongelea wakati wachungaji Christians wanahitaji Biblia tu hauwei kusikia wametaja Kurani hata siku moja kama reference ...
 
Hayo ni maandiko ya Wayahudi, sio ya Wakristo

Suala la ndevu liko wazi, wala sio la kubisha.
Image iliyojengeka ya mwanaume wa kwenye Biblia na Quran ni mwanaume mwenye nywele na ndevu ndefu.

Hawa wanaume wa type ya kina haszu sio wanaume.
Sasa mwanaume uso uko soft hauna ndevu hata moja. Sasa ukinawa huo uso si ni kama unaosha embe. 😊😊😊.
 
Moja kwa moja...

Msukumo wa kuandika mada hii nimeupata baada ya kuona mara kwa mara member wa Jf Echolima1 na wengineo baadhi wanaojinasibisha na Imani ya kikirsto kukashifu vibaya ufugaji wa ndevu kisa Waislamu ndio sehemu yao ya dini na ni jambo wanalopenda sana , imefikia hatua ya kutoa maneno ya kejeli na dhihaka kwa Mwanaume kufuga ndevu jambo hilo ndilo likanifanya nije na huu Uzi ili kuelimisha kuhusiana na swala hilo ..

Echomali kwenye uzi mmoja nilimuuliza inakuwaje unakashifu muonekano wa Kiume upo sawa kweli genotypically wakati hata Mitume na Manabii wa kale ambao wakristo pia wanawakubali walikuwa na ndefu na maandiko yana suggest hivyo ? Jamaa akaendelea ubishi na ujeuri eti hayo maandiko nimetoa kwa Gaidi Ayatollah , sasa naweka rasmi hayo maandiko kisha yeye na wana Jf mseme ni yametoka kweli kwa Gaidi Ayatollah ?View attachment 3687826

1. Sheria na Maagizo kwa WanaIsraeli kuhusu ndevu

Walawi 19:27: "Msinyoe denge pembe za vichwani, wala msiharibu pembe za ndevu zenu."

Walawi 21:5: "Wasijipatie upara kichwani, wala wasinyoe pembe za ndevu zao, wala kujikatakata miili

2 . Ishara ya heshima , Dharau na FedhehaView attachment 3687830
Ezra 9:3: "Basi niliposikia neno hili, nilirarua vazi langu na joho langu, nikang'oa nywele za kichwani mwangu na za ndevu zangu, nikaketi nikiwa nimeshangaa

3. Maandiko mengine ya Bible ikionyesha Manabii walikuwa na ndevu .

Hili tukio linalomuhusu Daudi na linaonyesha alikuwa na ndevu View attachment 3687838

Maandiko na matukio na Ushahidi upo mwingi kufupisha Uzi naishia hapa na nakaribisha mijadala na hoja zote

#UziTayari
Ndevu ni kama nywele tu..hakuna kosa kuzifuga wala kuzinyoa ...kwa sababu hakuna mtu yoyote aliye ambiwa na mungu kuwa ni mtakatifu au ni mwenye dhambi kwa sababu ya kufuga ndevu au kunyoa ndevu.... ndiyo maana hata wapo wazee wana vipara kwa nywere kutokuota....upumbavu wa waislamu ni kuamini ndevu na kiarabu ni kama ibada.
 
upumbavu wa waislamu ni kuamini ndevu na kiarabu ni kama ibada.
Hizi zote kaleta mtume.

Sunna za mtume. Kwahiyo imekuwa kama tamaduni.
Ilhali sio lazima.

Mtume pia alikataza kupaka rangi nyeusi kwenye ndevu zilizo na mvi.

Kwahiyo kama mtu una ndevu na zimeanza kutoa mvi. Basi paka rangi nyekundu au njano. Maana kupaka piko nyeusi ni dhambi.

Na kuna watu mandezi watafuatisha.
Wakat zote nyekundu, njano na nyeusi ni rangi. Iweje nyeusi pekee ndio iwe dhambi.
 
🤣🤣🤣
 
Mimi huwa ni katoliki ila huwa nanyoa mara 1 kwa mwezi kwa sababu ya maadili ya kazini tu.

Ningekuwa sio mtumishi, basi nisingenyoa ndevu!
Kwa hiyo wote wenye ndevu ni watakatifu na wote waovu ni wasio na ndevu ...yesu akasema hata nyinyi bado ni wajinga ..amjui kuwa chakula uingia kinywani kisha utupwa chooni...yanayo mtia mtu dhambi ni yatokayo moyoni.
 
Back
Top Bottom