Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Wayahudi ni Wakristo? Wayahudi wanaazini wakati wa kuanza Ibada hata waislamu mnawaiga kila wakati!!!Sawa kama bivlia ni ya wakristo na sio ya wayahudi kwanini mnafata utaratibu ambao walipewa wayahudi?.
Uliona wapi wakristo wanasali kama wayahudi? Kufuga midevu na Majini si sera ya wakristo!!