Hivi ndivyo maandiko ya Biblia yanavyosema kuhusu wanaume kuwa na kufuga 'ndevu'

Bila hata maandiko naonaga kunyoa ndefu kwa mwanaume kama anazo ni undezi tu
Naunga mkono hoja , hata naturally inakataa mtu ukiwa na ndevu Kuna Aura flani ya heshima na uanaume inaonekana kwenye uso .

Ndio maana Kuna stori nilisikia Marekani ilikuwa inafanya majaribio ya kutaka Fidel Castro anyolewe ndevu zake ili heshima yake ishuke
 
Yeah testosterone look 💪
 
Ndevu ni kama nywele tu..hakuna kosa kuzifuga wala kuzinyoa ...kwa sababu hakuna mtu yoyote aliye ambiwa na mungu kuwa ni mtakatifu au ni mwenye dhambi kwa sababu ya kufuga ndevu au kunyoa ndevu.... ndiyo maana hata wapo wazee wana vipara kwa nywere kutokuota....upumbavu wa waislamu ni kuamini ndevu na kiarabu ni kama ibada.
Napata tabu kujadiliana na Vilaza kama wewe , mada haizungumzia kuwa ndevu ni utakatifu na kukataza kunyoa bali ni kuwakosoa wale ambao wanawasema na kuwakejeli watu waliochagua kufuga ndevu .

Haya nipe maoni yako juu ya mtu ambaye anasema vibaya mtu kufuga ndevu na kumkebehi je , ni sawa kwa mtoto wa kiume kuwa hivyo ?

Kwa nini uite Upumbavu yeye akiamini kufuga ndevu ibada bila kulazimisha watu wengine inakuwaje shida na inawaathiri vipi wengine ?
 
Naunga mkono hoja , hata naturally inakataa mtu ukiwa na ndevu Kuna Aura flani ya heshima na uanaume inaonekana kwenye uso .

Ndio maana Kuna stori nilisikia Marekani ilikuwa inafanya majaribio ya kutaka Fidel Castro anyolewe ndevu zake ili heshima yake ishuke
Nikama ilivyo kuwa kwenye kunyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...
 
Kwa hiyo wote wenye ndevu ni watakatifu na wote waovu ni wasio na ndevu ...yesu akasema hata nyinyi bado ni wajinga ..amjui kuwa chakula uingia kinywani kisha utupwa chooni...yanayo mtia mtu dhambi ni yatokayo moyoni.
Una IQ ndogo sana , wapi huyo ulimQuoye kasema wenye ndevu ni watakatifu hivi unasoma na kuelewa kweli ?
 
Napata tabu kujadiliana na Vilaza kama wewe , mada haizungumzia kuwa ndevu ni utakatifu na kukataza kunyoa bali ni kuwakosoa wale ambao wanawasema na kuwakejeli watu waliochagua kufuga ndevu .

Haya nipe maoni yako juu ya mtu ambaye anasema vibaya mtu kufuga ndevu na kumkebehi je , ni sawa kwa mtoto wa kiume kuwa hivyo ?

Kwa nini uite Upumbavu yeye akiamini kufuga ndevu ibada bila kulazimisha watu wengine inakuwaje shida na inawaathiri vipi wengine ?
Soma nilicho andika kwa kutumia akili...mwisho nimeeleza kuhusu sababu za watu kuwakashifuni na midevu yenu ni kwamba nyinyi mnanasibisha ndevu na uislamu na ibada...shida ipo hapo nikama mfanyavyo kuhusu lugha ya kiarabu...nikama upumbavu wa wakristo wengi wa kutukuza waisrael kuwa kama sehemu ya ibada kwao...kana kwamba waisrael walikuwa ni watakatifu wote.
 
Nikama ilivyo kuwa kwenye kinyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...
Weka source kuhusu kunyoa kipara ilikuwa inachukuliws kuvunjiwa heshima na source ya tukio uliloweka kama chanzo cha yeye kuanza kunyoa ni sababu uliyotaja .

Mimi Mzee wa facts na naweka source , sasa twende kisomi weka evidences
 
Nikama ilivyo kuwa kwenye kinyoa kipara zamani ilikuwa ni kama kujivunjia heshima au kuvunjiwa heshimq ..ndiyo maana Muhammad alipo kuja na wahy wa waislamu wanyoe ilileta ubishi hadi swahaba mmoja akamshauri Muhammad kuwa yeye Muhammad na awe wa kwanza kufanya hivyo ndiyo uma wa waislamu wakakubali baada ya Muhammad kunyoa ...
Haya maneno umeyatoa wapi?
Lete aya inayotoa maamrisho Kwa mtume ili anyone ndevu
 
Lete huo ushahidi mkuu😂
 
Haya maneno umeyatoa wapi?
Lete aya inayotoa maamrisho Kwa mtume ili anyone ndevu
Nadhan anachanganya kidogo.

Mtume alisema msinyoe ndevu na mpunguze masharubu.
Na kama mnapaka piko basi iwe nyekundu au njano na sio nyeusi.
Ili mjitofautishe na Makafiri.

Ila kwenye nywele za kichwani alichoongelea ni kwa kama unanyoa nyoa zote au kama unafunga fuga ..ila sio kunyoa upande mmoja zaid na ukaacha mwingine.
tunaita Denge au panki(hii ni haram /dhambi).

ilo la ndevu hata Biblia imeandika.
Kwahiyo kama una ndevu kuachia au kunyoa sio dhambi/haram kwa wote kikristo au kiislam.
 
Rangi nyeusi haina uhusiano na kujitofatisha na wengine , bali Ina mahusiano zaidi na kukataza watu kuukimbia uzee kwa kuondoka mvi , sababu mvi ni ishara kuwa umri umeenda na mtu anatakiwa kuzidisha matendo mema na kujiandaa zaidi na akhera .

Sasa kuweka nywele nyeusi zinan'gara kama kina kijana Kuna mpa mtu nguvu kujiona bado ana muda wa kuishi na kuEnjoy life kitu ambacho ni false hope
 
Back
Top Bottom