Wajue wasomi hawa wenye IQ kubwa, wanaoamini kuwa Biblia ni kitabu cha kweli

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo:
Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine
Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA ya binadamu.

Francis alikuwa atheist kijana lakini alipofikia umri wa miaka 27 alibadilika akawa Mkristo baada ya kuchunguza suala la imani kwa kina. Huyu amesema wazi kwamba haoni mgongano wa lazima kati ya kuwa mwanasayansi makini na kuwa Mkristo.

John C. Lennox — DPhil (PhD) in Mathematics; DSc in Mathematics
Huyu ni Emeritus Professor of Mathematics, University of Oxford. Ana zaidi ya machapisho 70 ya hisabati na ameshiriki mijadala ya wazi na Richard Dawkins, Christopher Hitchens na wengine kuhusu Mungu, sayansi na imani. Yeye mwenyewe anaeleza kwamba aliweka imani yake katika Kristo tangu akiwa mdogo na baadaye akawa na conviction kwamba ujumbe wa Kikristo ni wa kweli.

Alister McGrath — DPhil (PhD) in Molecular Biophysics; DPhil (PhD) in Intellectual History.
Alisoma Chemistry Oxford na akapata doctorate katika molecular biophysics. Huyu pia alikuwa atheist, lakini baadaye akabadilika na kuwa Mkristo. Oxford yenyewe inaeleza safari yake hiyo.

Wewe unayeupinga Ukristo na kusema eti Biblia ni kitabu cha riwaya, umeandika vitabu vingapi vya kisomi/kisayansi au una PhDs ngapi? Labda tuanzie mjadala wetu hapo.

Mkatae shetani anayepofusha fikra zako ili nuru ya Kristo isikuangazie.

2 Kor 4:4
"ambao ndani yao mungu wa dunia hii(shetani) amepofusha fikra zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
 
kwaiyo wasingeiamin na ww usingeiamin??
wao ndo kielelezo chako nn
 
Kwa ushahidi wa kusikia Wapo mkuu..... nini maana yako!
Religion is Evolutionary Adaptation or Byproduct. Most cognitive scientists agree that the human brain evolved specific traits that make supernatural belief very easy and intuitive.
 
Kama hiyo list haitoshi, mfahamu C.S. Lewis - Oxford scholar, literary critic and author. Huyu alikuwa atheist kwa kipindi cha maisha yake ya ujana, kisha akaamua kuwa Mkristo.

Kwa taarifa yako Lewis alipata “Triple First.”
Kama hujui, Triple First maana yake ni kwamba alipata "First Class Honours" katika maeneo matatu tofauti ya masomo yake ya Oxford, kwa ufaulu wa kiwango cha juu sana: Greek and Latin Literature, Philosophy and English.

Huo ni ushahidi tosha kwamba kuwa na IQ kubwa au elimu ya kiwango cha PhD sio sababu ya kumfanya mtu aukatae Ukristo.

Kuna watu wakishapata tu ka BA kamoja basi wanaanza kupiga kelele eti Mungu hayupo. Mungu awasamehe bure tu maana hawajui walitendalo. (Luka 23:34)
 
Religion is Evolutionary Adaptation or Byproduct. Most cognitive scientists agree that the human brain evolved specific traits that make supernatural belief very easy and intuitive.
Ok! hao cognitive scientists.....hakuna anaye mwamini Mungu?
 
Back
Top Bottom