Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
psalm 23:1.Thanks for engaging, my friend.
“Test everything; hold fast what is good.”(1 Thessalonians 5:21)
"The Lord is my shepherd, I lack nothing"
🐒
psalm 23:1.Thanks for engaging, my friend.
“Test everything; hold fast what is good.”(1 Thessalonians 5:21)
Ndio utetezi wako huu?Hawa ni wasomi/wanasayansi walio hai ambao wamekiri wazi imani yao katika Kristo:
Francis S. Collins — PhD in Physical Chemistry; MD in Medicine
Huyu aliongoza Human Genome Project. Human Genome Project (HGP) ulikuwa mradi mkubwa wa kimataifa wa kisayansi wa kuchora na kubaini mpangilio wa DNA ya binadamu.
Francis alikuwa atheist kijana lakini alipofikia umri wa miaka 27 alibadilika akawa Mkristo baada ya kuchunguza suala la imani kwa kina. Huyu amesema wazi kwamba haoni mgongano wa lazima kati ya kuwa mwanasayansi makini na kuwa Mkristo.
John C. Lennox — DPhil (PhD) in Mathematics; DSc in Mathematics
Huyu ni Emeritus Professor of Mathematics, University of Oxford. Ana zaidi ya machapisho 70 ya hisabati na ameshiriki mijadala ya wazi na Richard Dawkins, Christopher Hitchens na wengine kuhusu Mungu, sayansi na imani. Yeye mwenyewe anaeleza kwamba aliweka imani yake katika Kristo tangu akiwa mdogo na baadaye akawa na conviction kwamba ujumbe wa Kikristo ni wa kweli.
Alister McGrath — DPhil (PhD) in Molecular Biophysics; DPhil (PhD) in Intellectual History.
Alisoma Chemistry Oxford na akapata doctorate katika molecular biophysics. Huyu pia alikuwa atheist, lakini baadaye akabadilika na kuwa Mkristo. Oxford yenyewe inaeleza safari yake hiyo.
Wewe unayeupinga Ukristo na kusema eti Biblia ni kitabu cha riwaya, umeandika vitabu vingapi vya kisomi/kisayansi au una PhDs ngapi? Labda tuanzie mjadala wetu hapo.
Mkatae shetani anayepofusha fikra zako ili nuru ya Kristo isikuangazie.
2 Kor 4:4
"ambao ndani yao mungu wa dunia hii(shetani) amepofusha fikra zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."
Leo Tu ni siku amethibitisha Mungu hayupo na kama yupo Hana power yoyote, haiwezekani Mvua inanyesha Dar ambalo haihitajiki wakati Morogoro wakulima Wana ukame.Sina jopo, ila hujawahi kumuona daktari anavuta sigara na kunywa pombe ?
Huyo aliyeshare sasa ungejua🤣🤣Beautiful!
It’s great to see you sharing Scripture!
Psalm 23:1 is such a powerful reminder that when the Lord is our Shepherd, we really lack nothing.
Samahani dada, hv umeolewa?Kweli inasikitisha sana kuona watu wanavyoendelea kucheza na dhambi wakati dalili zinaonesha wazi kuwa Yesu yuaja upesi(Ufu 22:10-12)
Umenikumbusha nikiwa mdogo wakati naenda au natoka shule mvua kubwa inaanza kunyesha na bado niko mbali na shule au nyumbani, naomba mungu aikate kwanza mpaka nifike shule lakini wapi, sikuwahi kufanikiwa kabisa😁Leo Tu ni siku amethibitisha Mungu hayupo na kama yupo Hana power yoyote, haiwezekani Mvua inanyesha Dar ambalo haihitajiki wakati Morogoro wakulima Wana ukame.
Mungu hawezi kuwa na akili hizi zisizo na mpangilio wa vipaumbele
The fact that rain does not fall where and when we think it should does not prove that God does not exist. Even the Bible acknowledges that God’s purposes and wisdom are beyond our limited understanding.Leo Tu ni siku amethibitisha Mungu hayupo na kama yupo Hana power yoyote, haiwezekani Mvua inanyesha Dar ambalo haihitajiki wakati Morogoro wakulima Wana ukame.
Mungu hawezi kuwa na akili hizi zisizo na mpangilio wa vipaumbele
Ingekatika hata kwa bahati mbaya ungeamini Mungu kakusikilizza🤣Umenikumbusha nikiwa mdogo wakati naenda au natoka shule mvua kubwa inaanza kunyesha na bado niko mbali na shule au nyumbani, naomba mungu aikate kwanza mpaka nifike shule lakini wapi, sikuwahi kufanikiwa kabisa😁
Huko shuleni ulikuwa unaishi kama Eliya? Au ulikuwa unagombana na kutukanana na wenzako.Umenikumbusha nikiwa mdogo wakati naenda au natoka shule mvua kubwa inaanza kunyesha na bado niko mbali na shule au nyumbani, naomba mungu aikate kwanza mpaka nifike shule lakini wapi, sikuwahi kufanikiwa kabisa😁
Bible inasomwa na wajinga wajinga tu huoni kama huo mstari ni wa kujidefend pale kunapokuwa na failures ili watu wasihoji performance yake?🤣🤣The fact that rain does not fall where and when we think it should does not prove that God does not exist. Even the Bible acknowledges that God’s purposes and wisdom are beyond our limited understanding.
Isaya 55:8
"Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu."
Ina maanisha hawana akili?Sina jopo, ila hujawahi kumuona daktari anavuta sigara na kunywa pombe ?
Ina maanisha mambo mengi ya binadamu yanaongozwa na hisia zaidi kuliko logicIna maanisha hawana akili?
Weka hapa academic credentials zako ili tujue kama kweli unawazidi hao wasomi unaowaita wajinga.Bible inasomwa na wajinga wajinga tu huoni kama huo mstari ni wa kujidefend pale kunapokuwa na failures ili watu wasihoji performance yake?🤣🤣
Psalm 27:1Beautiful!
It’s great to see you sharing Scripture!
Psalm 23:1 is such a powerful reminder that when the Lord is our Shepherd, we really lack nothing.