Kwanini Wakatoliki waliamua kumpa Maria umuhimu mkubwa zaidi tofauti na mitume wengine wa Biblia?

Hakuna mkiristo mwenye copy original ya injili, hakuna mkiristo mwenye copy original ya torat

Katika vitabu vya dini hakuna kitabu kinaitwa agano la kale Wala agano jipya.

Agano la kale na agano jipya ni vitabu vilibuoandikwa na watu ili kupunguza sheria za torati.
 
Ili uamini, unataka uambiwe/ufanyiwe/,uoneshwe kitu gani?
Mimi ni Tomaso, msinidanganye na fumbo la imani! Nani kaliweka? Fikiria kwa makini utagundua huo ni mchongo tu wa watu. Ni kwa nini dini imeenea sana katika ulimwengu wa tatu. Mara nyingi hawatumii akili katika kuchambua mambo. For me I understand in order to believe. God is nature that's all.
 
Kama kuna sauti toka uwinguni ilisikika ikisema..."huyo ni MWANANGU mpendwa,msikilizeni yeye"...!Sasa ugumu unakujaje kichwani mwako kwamba MWANA akose BABA?
Nimeuliza... Mungu ana mama?
Na kama Mungu ana mama,baba yake ni nani?
 
Hakuna mkiristo mwenye copy original ya injili, hakuna mkiristo mwenye copy original ya torat

Katika vitabu vya dini hakuna kitabu kinaitwa agano la kale Wala agano jipya.

Agano la kale na agano jipya ni vitabu vilibuoandikwa na watu ili kupunguza sheria za torati.
Umehisi tu au ndivyo ilivyo na unavyojua?
 
Mimi ni Tomaso, msinidanganye na fumbo la imani! Nani kaliweka? Fikiria kwa makini utagundua huo ni mchongo tu wa watu. Ni kwa nini dini imeenea sana katika ulimwengu wa tatu. Mara nyingi hawatumii akili katika kuchambua mambo. For me I understand in order to believe. God is nature that's all.
Sasa,kwa kadiri ya ulivyojitambulisha,wewe dini haiko upande wako wala haikufai.Dini ni IMANI.Dini ni KUSADIKI hata yale ambayo hayaonekani,kugusika kwa mwili wa nyama na ni magumu na tata ila kuwa na matarajio ya yajayo.Wewe mahitaji yako hayaendani na imani wala kusadiki.
 
Maria siyo mtume.
Maria ni Mama wa Mungu.
Beira Boy
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Kwa nini Mary Magdalene anatokea hata mara nyingi zaidi katika Biblia kuliko Maria mama yake Yesu?
 
Hakuna mkiristo mwenye copy original ya injili, hakuna mkiristo mwenye copy original ya torat

Katika vitabu vya dini hakuna kitabu kinaitwa agano la kale Wala agano jipya.

Agano la kale na agano jipya ni vitabu vilibuoandikwa na watu ili kupunguza sheria za torati.
Copy original ya injili kama wakristo hawana ni akina nani wanayo?
 
Maria siyo mtume.
Maria ni Mama wa Mungu.
Beira Boy
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Mary Magdalene anatokea mara nyingi zaidi na katika sehemu muhimu zaidi katika Biblia kuliko hata Maria mama yake Yesu!
 
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Kwa nini Mary Magdalene anatokea hata mara nyingi zaidi katika Biblia kuliko Maria mama yake Yesu?
Hebu eleza hitaji lako la umuhimu na kiwango kipi walitakiwa kumpa Maria mamaye Yesu ambacho waandishi wangempa.
NB;Maandiko ni kama mihtasari ya yaliyotokea.Na,imeandikwa..."kama yote yaliyotokea/kutendeka enzi hizo yangeandikwa,vitabu vya dunia hii visingetosha"...!Unakumbuka na umewahi kujiuliza ni yepi hayakuandikwa?
 
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Mary Magdalene anatokea mara nyingi zaidi na katika sehemu muhimu zaidi katika Biblia kuliko hata Maria mama yake Yesu!
Yawezekana hakuwa na kiherehere wala hekaheka au kuwa busy for nothing ndiyo maana hakutajwa mara nyingi.
 
Sawa. Pamoja na kunitaka nitulie, Naomba usaidie kujibu hoja ya Je, Dini ya Katoliki walipata wapi mamlaka ya kusali kwa kutumia rozari?
Mapokeo ya Kanisa hayo.. sio kila kitu kinatumika kilichomo kwa biblia.
Na ndio maana kwenye biblia kuna baadhi ya vitabu havitumiki.. biblia zingine zimefuta kabisa..

Ni km wewe ulivyozaliwa miaka ya 80 kweusi hakukuwa na majina ya kina Gianna. Ila currently hilo jina lipo sana..
 
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Mary Magdalene anatokea mara nyingi zaidi na katika sehemu muhimu zaidi katika Biblia kuliko hata Maria mama yake Yesu!
Maria Magdalena ni mpenzi wa Yesu Kristo, lazima atokee mara nyingi kwenye Agano Jipya
 
Unasomewa kanisani kwenu...
Injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu Luka...bado unaamin ile ni injili ya kweli....

Injili ni kitabu kimoja tu wala siyo vitabu vinne.
 
Back
Top Bottom