Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Platinum Members ndiyo great thinkers, nao wanamtetea marehemu Maria.🚮
Sijui kwa nini huwa hawataki/hawapendi mama Maria kutambuliwa, kupendwa,kutamkwa na kupewa heshima yake akiwa kama mama wa Yesu!?Wanashindwa kumtambua na kumpenda Maria mama wa Yesu,wakati ukichana au kuzichoma hata picha tu za mama zao wataanzisha vita isiyoisha.Kwenu mama mzaa chema hathaminiwi?
Inasemekana aliendelea kuzaa na kuwa na familia kama kawaida, japo Wakatoliki hawapendi kabisa kusikia kwamba Maria aliendelea kuishi na Joseph kama mume na mke wakizaa watoto!Je kwanza zaid ya yesu ha kuzaa tena? Mana nilskia kuna uzao wa yusufu
Rudia kusoma uzi vizuriSijui kwa nini huwa hawataki/hawapendi mama Maria kutambuliwa, kupendwa,kutamkwa na kupewa heshima yake akiwa kama mama wa Yesu!?Wanashindwa kumtambua na kumpenda Maria mama wa Yesu,wakati ukichana au kuzichoma hata picha tu za mama zao wataanzisha vita isiyoisha.
Kasema mtake msitake, yeye ndo mungu wenu!usikute nyie ndio wafuasi wa zumaridi
Mama Maria haabudiwi bali anaheshimiwa ninyi Wasabato hiyo kwamba anaabudiwa huwa mnaitoa wapi ?Mbona hata mama yako unamthamini lakina haumuabudu!
Hawawezi kukuelewaSawa. Pamoja na kunitaka nitulie, Naomba usaidie kujibu hoja ya Je, Dini ya Katoliki walipata wapi mamlaka ya kusali kwa kutumia rozari?
Kwa nini mitume walioandika Agano jipya hawakumpa heshima hiyo kama anavyopewa na Wakatoliki?? Kwa nini Mary Magdalene anatokea hata mara nyingi zaidi katika Biblia kuliko Maria mama yake Yesu?
Mambo yao waachiwe wenyewe.
Nikupongeze muanzisha mada.Maria mama wa Yesu na mke wa Joseph ameandikwa katika vitabu vinne tu vya injili story yake ikiunganishwa na ya Yesu Kristo labda na mara moja au mbili tu zaidi katika katika kitabu cha matendo ya mitume.
Katika vitabu vingine vyote vya Biblia agano jipya Maria hatajwi kabisa na wala sio character muhimu kwenye kanisa na dini ya Ukristo. Mfano mtume kama Paulo na Petro hawataji kabisa habari za Maria mama wa Yesu katika maandiko yao!
Kwa nini hasa Wakatoliki waliamua kumfanya Maria ndiye kinara wa dini baada ya Yesu na lini hasa Wakatoliki waligundua na kuamua kumfanya Maria kuwa moja ya Character wakuu na muhimu zaidi katika kanisa na dini ya Ukristo wakati ambapo mitume wengine walimpuuza?