Asili ya kichaga ni kibantu na Jambo la kipekee kuhusu Kichaga ni kwamba sio lugha moja inayofanana kote; badala yake, kimegawanyika katika lahaja (vilugha) tofauti kulingana na maeneo ya kijiografia kutoka mashariki hadi magharibi mwa mlima.Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ?
Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
Na bado inabadilikabadilikika kutokana na maeneo madogo ya kieneo mfano tena mchaga wa Tarakea akiongea anatofautiana kimatamshi na mchaga wa useri au mashati na bado ni wilaya moja ya RomboAsili ya kichaga ni kibantu na Jambo la kipekee kuhusu Kichaga ni kwamba sio lugha moja inayofanana kote; badala yake, kimegawanyika katika lahaja (vilugha) tofauti kulingana na maeneo ya kijiografia kutoka mashariki hadi magharibi mwa mlima.
Hivyo baadhi ya makabila yaliyo kkaribu husikilizana kama machame+kibosho au old moshi. Lakini sababu kuu ni ubantu
Mila lazima izingatiweKwa kuwa wote wanachinja ndafu na kutumia mbege kufanikisha mila - tambiko - haina shida
Ni kawaida kwa lugha moja kuwa na lahaja tofauti. Hata UK kingereza chao kuna lahaja tofauti ambazo hawaelewani wakati mwingine.Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ?
Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
Kuhusu london umeongea ukweli mtupuNi kawaida kwa lugha moja kuwa na lahaja tofauti. Hata UK kingereza chao kuna lahaja tofauti ambazo hawaelewani wakati mwingine.
Scotland, England ama Wales wote wana lahaja tofauti za kingereza na ndani ya mji kama London kuna lahaja tofauti nyingi tu kama Cockney, Scouse, Yorkshire, n.k
Vp nawo pia wanatofautiana maongeziJe wakurya,
1.kuna wakiroba
2.wasweta
3.wasimbiti
4.wakine
5.waingoreme
6.wakenye,
7.wasobha
Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ?
Mbona kama utapeli ulianza mapema?!
Ngoja waje wahusika waje kutoa majibu
Hakuna kabila la kichaga Ila ni makabila nane
Inakuaje sote tunaitwa watanzania wakati kuna daslam, mwanza, tanga, Arusha, iringa, mbeya, dodoma, katavi nk?
Lugha sio tofauti kivile, hatuelewani baadhi ya misamiati.
Inasemekana wachagga ni jina tulipewa na wakoloni, waingereza walilazimika kumteua mangi mmoja mkuu ili aweze kutawala himaya yote na kuepusha migogoro ya madaraka iliyokuwa ikitokea sana.
Mimi naamini wakoloni waliwahisha hili jambo tu, lazima lingekuja kupita. Ingeibuka falme moja yenye nguvu na kumeza zote.
Asili ya kichaga ni kibantu na Jambo la kipekee kuhusu Kichaga ni kwamba sio lugha moja inayofanana kote; badala yake, kimegawanyika katika lahaja (vilugha) tofauti kulingana na maeneo ya kijiografia kutoka mashariki hadi magharibi mwa mlima.
Hivyo baadhi ya makabila yaliyo kkaribu husikilizana kama machame+kibosho au old moshi. Lakini sababu kuu ni ubantu