Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Kwa sababu wote wanakunywa mbege na wako chini ya mlima Kilimanjaro.Kwa nini Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Warombo, Wasiha na Wa Old Moshi wote wanaitwa wachaga wakati lugha zao ni tofauti ?
Mbona kama utapeli ulianza mapema?!