SASA MTUMISHI ANAYEIMBA NA WANAMZIKI WA KIDUNIA NA WANAYESHIRIKIANA NA CCM TOFAUTI IKO WAPI?

SASA MTUMISHI ANAYEIMBA NA WANAMZIKI WA KIDUNIA NA WANAYESHIRIKIANA NA CCM TOFAUTI IKO WAPI?

Mkuu mimi nashauri tusimhukumu mtu kutokana na dhamira yake. Kile anacho dhamiria mtu kwa nia njema kinaweza onekana ni machukizo mbele ya waumini wenzake lakini ikawa ni kinyume machoni pa Bwana.

Hata Kristo alionekana ni mlafi, mlevi na kushirikiana na wale walionekana kuwa ni wenye dhambi kwa vipinmo vya Mafarisayo, Masudukayo na walimu wa sheria, lakini mbele za Mungu alikuwa akitangaza siri za ufalme wa mbinguni.

Kristo kwa unyenyekevu na hekima kubwa alisema, "mwenye afya haitaji kumuona tabibu, bali yule ambaye ni mgonjwa hupaswa kufanya hivyo"
 
Mkuu mimi nashauri tusimhukumu mtu kutokana na dhamira yake. Kile anacho dhamiria mtu kwa nia njema kinaweza onekana ni machukuzo mbele ya waumini wenzake lakini ikawa ni kinyume machoni pa Bwana.

Hata Kristo alionekana ni mlafi, mlevi na kushirikiana na wale walionekana kuwa ni wenye dhambi kwa vipinmo vya Mafarisayo, Masudukayo na walimu wa sheria, lakini mbele za Mungu alikuwa akitangaza siri za ufalme wa mbinguni.

Kristo kwa unyenyekevu na hekima kubwa alisema, "mwenye afya haitaji kumuona tabibu, bali yule ambaye ni mgonjwa hupaswa kufanya hivyo"
Wenye afya hawahitaji tabibu bali walio hawawezi.
 
Walokole kujikuta spesho sana
 
Aaagh,mwenye mada,mtumishi na huyo msela wote ni binadam.Hata uliyetoa mada huenda kunasehemu haupo sahihi.Kunawakati tupunguze kuhukumu.

Kwani huyo mtumishi anamanufaa gani kwako?

Umeumia kwa kiasi gani kutokana na kitendo alichokifanya?

Haya mtumishi aliyeua watu na huyu wa starehe yupi ni bora?

TUISHI MKUU,DUNIA ILIUNDWA KWA AJILI YETU SOTE.

Hayo makelele ya kina joel sijui lwanga na chibu sijui mwamposa hayatotusaidia kitu.

Ni bla bla na upigaji wa pesa kwa style hiyo.

Na wewe fanya chako chenye faida.

PUNGUZA MAKASIRIKO MKUU.
 
SASA MTUMISHI ANAYEIMBA NA WANAMZIKI WA KIDUNIA NA WANAYESHIRIKIANA NA CCM TOFAUTI IKO WAPI?
muziki ni mziki tu gentleman,
au kuna kingine ni muziki lakini hakiitwi muziki?

labda unataka kuintroduce kitu kipya lakini hukielewi ukiitaje :pedroP:

na hiyo,
ni miongoni mwa athari za kuongozwa na chuki na mihemko kwenye kuwaza :pedroP:
 
Kushirikiana na CCM ni laana
 
Back
Top Bottom