Niliuliza,ni kweli haya yanayosemwa ma Mange Kimambi,Maria Sarungi na Jasusi TV na Kigogo sijui kama anasema haya mambo, kwamba Abdul anahusika na hizi hola?
Nikaambiwa , SIYO KWELI.
Mambo ni mabaya kuliko wanavyosema.
Inasemekana hakuna mtu analiipwa hela kazi aliyoifanyia kabla Abdul hajatoa kibali. Tender umefanya kazi kabla ya kulipwa Abdul lazima aruhusu .
Isisemwe nazungumza maneno kusapoti maandamano.
Hata Marx alisema kazi ya Buddha,Yesu na Muhammad ni kueleza tu hali ilivyo sasa hivi.
Kazi yetu sis( akina Marx) ni kuibadili dunia.
His exact quote is: "The philosophers have only interpreted the world, in various ways; the point, however, is to change it."
Kumbe hakuntaja Buddha. Siku zile( za Marx watu ndio kwanza walikuwa wannanza wanatafsiri Buddhist writings