Hii hapa tofauti kati ya Maandamano na vurugu.

L

Kwa nini kama mna ushahidi wa watu kuwa na hatia hamuuweki hadharani au hamuwafungulii mashitaka hao watu!!??

Kwa nini mliomba records zote za CCTV kwenye majengo yenye hizo camera, kwa nguvu na vitisho!!??

Watu wana records za hizo CCTV kwenye cloud servers zikionyesha "kikundi maalum" kikifanya uchomaji moto na upigaji risasi, na zimepelekwa ICC.

Kuna videos zaidi ya 300 zikionyesha askari na watu waliokuwa kwenye magari ya serikali wakipiga wananchi wasio na hata jiwe risasi hovyo hovyo kama wanaua inzi, mbona sijaona hata kipande cha video kinachoonyesha askari akitupiwa jiwe, au raia akikatwa kidole wala wananchi wakichoma mali!!???

Huyu zezeta anafikiri video za ushahidi hatuna policcm kwa makundi wakipiga raia wasio na silaha , mtu amevunjwa mguu yuko chini hawezi kuinuka wala kujitetea anapigwa bado.
 
Chama kuwa kilivyo sio hoja

Dhamira halisi yake na yenu ina ufanano upi..? Ndio hoja

Kama nyie na hila zenu mnajikuta wakombozi kipi kinamzuia yeye kujipata kwa lengo hilohilo

Kujikuta upo sahihi na maisha yako nalo ni tatizo la muda mrefu

Eti wewe kama wewe unaamua hatima ya mamilion ni laana
Sasa unaongeleà habari za kuchoka tu amani uliyoizoea unataka kujaribu aina nyingine ya maisha.
 
L

Kwa nini kama mna ushahidi wa watu kuwa na hatia hamuuweki hadharani au hamuwafungulii mashitaka hao watu!!??

Kwa nini mliomba records zote za CCTV kwenye majengo yenye hizo camera, kwa nguvu na vitisho!!??

Watu wana records za hizo CCTV kwenye cloud servers zikionyesha "kikundi maalum" kikifanya uchomaji moto na upigaji risasi, na zimepelekwa ICC.

Kuna videos zaidi ya 300 zikionyesha askari na watu waliokuwa kwenye magari ya serikali wakipiga wananchi wasio na hata jiwe risasi hovyo hovyo kama wanaua inzi, mbona sijaona hata kipande cha video kinachoonyesha askari akitupiwa jiwe, au raia akikatwa kidole wala wananchi wakichoma mali!!???
Sheria hairuhu kuonyesha picha kama hizo hadharani, sio kwamba serikali haina picha kama hizo. Wakati utafika zitaonyeshwa kama itakuwa lazima kufanya hivyo.
 
Sasa unaongeleà habari za kuchoka tu amani uliyoizoea unataka kujaribu aina nyingine ya maisha.
Amani ni jambo jema na ustawi

Sema Unatunzaje amani kwa Damu.?

Watoto wakiwa wasumbufu wanazuiwa sio kuharibiwa
 
Hakuna nchi duniani ambayo kila mtu anaishi maisha yake tu bila kuhojiwa na bila kutimiza wajibu fulani kwanza. Hata akina P Diddy hawaishi maisha yao tyuuu bila checks and balance. Msiwahadae vijana kuwa wanaishi kuishi watakavyo bila kutimiza wajibu.

Mtu kama mm ndiyo maana nahangaika kuandika humu kila leo kujaribu kupambana na wapotoshaji wa vijana wasiojua hili wala lile.

Mtu kama Lissu, kwake yeye kila mtu hajui ila yeye tu. Mimi ni nilikuwa mwanachadema nina kadi ya karatasi na ya mtandao. Hata hoja ya no reforms no election ni wazo lake yeye wakati wa mkiti Mbowe. Lissu is uncontrolable iwe bungeni, iwe kwenye chama, iwe TLS, iwe kwenye mikutano ya kitaaluma and everywhere. Safari hii amekiingiza chama na wanachama kwenye mtaro wa kina kirefu pale alipowakataza wenzake woooote wasusie uchaguzi wasigombee nafasi yoyote huku akijua yeye alikuwa mbunge kwa miaka 10 mfululizo kwakutumia tume hiihii. Kwa ujuaji wake aliwakasirikia hata akina Halima mdee wakawaita majina ya hovyo kabisa kisa wamekuwa wabunge wa viti maalum.

Sasa chama kimekosa bara na pwani, pangani na bweni, kipo tu kama kundi lenye hasira.
Kukosa nafasi za utawala sio tatizo kwa aliyechagua kujipata

Lakini vile vile sio suruhisho hata akipata

Kikubwa kwanini nia yake ikukere wewe mkubwa na mamlaka yako

Kiasi unatumia nguvu nyingi kumkaza.!?

Wanadamu acheni kiburi cha maisha 2150 hatutokuwepo wala kukumbukwa
 
Sheria hairuhu kuonyesha picha kama hizo hadharani, sio kwamba serikali haina picha kama hizo. Wakati utafika zitaonyeshwa kama itakuwa lazima kufanya hivyo.
Haina ushahidi wowote, watu wa DPP,TanPol na DCI tunaishi nao na wanatupa habari zote.
 
Amani ni jambo jema na ustawi

Sema Unatunzaje amani kwa Damu.?

Watoto wakiwa wasumbufu wanazuiwa sio kuharibiwa
Yaani wewe vile ukilala, kuamka, kushinda na kulala tena salama kila siku unaona ni haki yako iliyoteremshwa tu na Mungu. Unaona itakuwepo tu hata kesho.
 
Kwani wewe unayejikuta unailinda hukulala na kuamka kama mimi.!

Vipi wewe ujikute unawiwa sana kuliko Sie wengine.?

Mimi tu ile kutoka Asubuhi kwenda kutafuta mkate ni usalama wa akili kwa IGp ajaye anayecheza kombolera sasa hivi
 
Kukosa nafasi za utawala sio tatizo kwa aliyechagua kujipata

Lakini vile vile sio suruhisho hata akipata

Kikubwa kwanini nia yake ikukere wewe mkubwa na mamlaka yako

Kiasi unatumia nguvu nyingi kumkaza.!?

Wanadamu acheni kiburi cha maisha 2150 hatutokuwepo wala kukumbukwa
Duu, wewe unapiga hesabu za leo na kesho tu wakati sisi tunawaza maisha ya vitukuu na vilembwekeza vya miaka 3000 ijayo. Kama wazee wetu wangewaza kizembe kama wewe tusingekuta mti wa mninga hata mmoja, tembo hata mmoja wala mto hata mmoja unatiririsha maji.
 
Acha kujikuta mjuaji

Maisha ya watu ambao hujawaona yanakuhusu nini wewe.!

Sawa mti wa mniga wametunza ila mahitaji yetu yanatoshaje huruma yao.!

Acha wafu wawe sehemu ya kumbukumbu sio legacy

Sawa nenda kawaambie walitunza mininga ila tunatumia vitanda vya chuma mninga sio ishu 2026 hata kigoda chake hakipo

Tumia utashi kukabiliana na changamoto ndio Akili
 
Kwahiyo ndiyo maana mkachoma kila kitu?
 
Acha kujikuta mjuaji

Maisha ya watu ambao hujawaona yanakuhusu nini wewe.!

Sawa mti wa mniga wametunza ila mahitaji yetu yanatoshaje huruma yao.!

Acha wafu wawe sehemu ya kumbukumbu sio legacy

Sawa nenda kawaambie walitunza mininga ila tunatumia vitanda vya chuma mninga sio ishu 2026 hata kigoda chake hakipo

Tumia utashi kukabiliana na changamoto ndio Akili
Sio ujuaji hata, nimekuonyesha namna maandamano kwa viwango vya Europian Union yanavyopaswa kuwa. Chini au zaidi ya hapo sio maandamano ya amani. Kwahiyo msije mkadhani EU na Marekani wamewadharau kwa kuwapa kisogo kwenye hambo lenu. Kile mlichokifanya kwa viwango vya EU na US na UK ni ugaidi, na majibu yake ni kama mliyopewa.
 
Acha kujikuta mjuaji

Maisha ya watu ambao hujawaona yanakuhusu nini wewe.!

Sawa mti wa mniga wametunza ila mahitaji yetu yanatoshaje huruma yao.!

Acha wafu wawe sehemu ya kumbukumbu sio legacy

Sawa nenda kawaambie walitunza mininga ila tunatumia vitanda vya chuma mninga sio ishu 2026 hata kigoda chake hakipo

Tumia utashi kukabiliana na changamoto ndio Akili
Majuha mmemaliza mininga, ndio maana ugaidi mnauita maandamano, oxygen hakuna hakuna akili, mnavyokuja ndivyo mtakavyorudi; jiandaeni kuyalaki mafuriko ya el nino.
 
Back
Top Bottom