Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
viongozi wa chama cha upinzani nchini zambia Brian Mundubile na wengine 16 ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini wamefungua dai la kikatiba kuomba mahakama iwaachilie kwa dhamana
katika maombi yao wanadai kuwa kuendelea kwao kuzuiliwa bila kesi kunakiuka haki zao za kikatiba.
waombaji ni pamoja na askofu wa zamani wa anglikana mchungaji trevor mwamba.
katika hatua nyingine waombaji wamesema kuwa hawapingi serikali kuchnguza madai bali wanaomba dhaman kwa mjibu wa sheria ya zambia
katika wasilisho lai wamedai kuwa sheria inawahakikishia haki ya kufikishwa mbele ya mahakama bila kuchelewa kupita kiasi. ikiwa hawatahukumiwa ndani ya muda unaofaa, sheria inawapa haki ya kuachiliwa huru bila masharti au kwa masharti yanayofaa.
"hatupingi kwamba serikali ina haki ya kufanya uchunguzi wa jinai, lakini kinachobishaniwa ni pendekezo kwamba kutokamilika kwa uchunguzi kunaunda msingi wa kutosha wa kikatiba wa kuzuiliwa kwa muda mrefu bila kesi za kimahakama," waombaji walisema.
Chanzo: News Diggers