brian mundubile

Brian Muntayalwa Mundubile (born 5 January 1971) is a Zambian politician who served as the Member of the National Assembly for Mporokoso from 2016 to 2026. He is a member of the National Reconciliation Party for Unity and Prosperity.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzania Zambia Brian Mundubile aomba dhamana ya kikatiba

    viongozi wa chama cha upinzani nchini zambia Brian Mundubile na wengine 16 ambao wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini wamefungua dai la kikatiba kuomba mahakama iwaachilie kwa dhamana katika maombi yao wanadai kuwa kuendelea kwao kuzuiliwa bila kesi kunakiuka haki zao za kikatiba. waombaji ni...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Zambia: Mpinzani wa Hichilema ashikiliwa kwa tuhuma za uhaini

    Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Brian Mundubile na mgombea mwenza wake, Makebi Zulu wamewekwa chini ya ulinzi wa polisi kwa tuhuma zinazohusishwa na uhaini, hatua inayoongeza mvutano wa kisiasa baada ya uchaguzi wa Agosti 13, 2026 uliompa Rais Hakainde Hichilema ushindi wa muhula wa pili...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Zambia, Brian Mundubile kupitia mapito ya Tundu Lissu. Mbinu za Tanzania za Uhaini

    Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza. Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake. Tanzania walitoa tamko la...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Zambia: Polisi wamuita kiongozi wa Upinzani, Brian Mundubile kuhojiwa kwa kuhatarisha usalama wa nchi

    Polisi nchini Zambia wamemtaka mgombea urais wa Chama cha National Reconciliation Party for Unity and Prosperity (NRPUP) katika Uchaguzi Mkuu wa 2026, Brian Mundubile, pamoja na mgombea mwenza wake Makebi Zulu, kujisalimisha kwa ajili ya mahojiano. Mkuu wa Polisi nchini Zambia, Graphel Musamba...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Brian Mundubile: Zambia sio Tanzania. Adai kuwa mbinu za kuiba kura zinazotumika Tanzania zinatumiwa Zambia kwenye Taifa la Kikristo

    Wanapeleka wizi wa kura kwenye taifa la Kikristo, Wanatumia mbinu za Tanzania.👇 "UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia “mbinu (formula) ya Tanzania.” Zambia si Tanzania, Zambia si Tanzania… Hii ni Zambia. Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais, Brian Mundubile: Zambia siyo Tanzania, wanajaribu kuleta mbinu zilizotumika Tanzania

    Mgombea Urais wa Upinzani, Brian Mundubile kutokea chama cha National Reconciliation Party for Unity and Prosperity’s (NRPUP), amesema kuwa chama tawala cha Rais anayemaliza muda wake, hakiwezi kupata ushindi, huku akisisitiza kuwa Zambia haiwezi kuwa kama Tanzania, akiwataka watanzania...
Back
Top Bottom