Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
Habari ndugu zangu, ni mwaka sasa toka ndugu na jamaa zetu watangulie mbele za haki baada ya matukio ambayo hayakuwa ya kiungwana yaliyotokea baada ya uchaguzi.
Poleni kwa ambao mali zenu ziliharibiwa,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mpate mara saba zaidi kama ambavyo ilikuwa kwa mtumishi wake Ayubu.Poleni pia kwa ambao mlipoteza ndugu,jamaa,wazazi na marafiki.Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu pahala sahihi.
Mada yangu ilikusudia kumuuliza kiongozi wetu(Samia) vipi huko yeye anajisikia vizuri?Hivi waliokufa kipindi kile wangekuwa watu wake wa karibu angekuwa na amani?.Tukumbuke kitu tunaita golden rule:you shall treat others in the same way you would like them to treat you.
Samia ulikosea na hicho kiti mtakikalia kwa tabu sana maana ardhi inadai.Toba ya kweli itawaokoa siku zote huwa nawapa nini mfanye maana najua kilichopo mbele yetu