UVCCM haya yanayoendelea siyo sifa ni ukosefu wa nidhamu ndani ya chama. kiongozi wa UVCCM Taifa jitafakari

Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.

My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Mbona Uvccm hao hao ndio walikuwa wanatoa matamko ya ovyo ovyo dhidi Dr.Nchimbi wakashiriki kutengeneza magenge ya kumwondoa Nchimbi hamkukemea.Mtoto umleavyo ndivyo akauavyo
 
Rushwa imetamkwa si kwa kumaanisha "the use of public office for private gain"
Rushwa iliyotamkwa ni tabia ya vijana kutanguliza Mbele masilahi badala ya kazi

Wewe ni wakili wa Mchengerwa au wa Kamusi?

Mchengerwa kasema: "UVCCM ni wala rushwa" - video ipo YouTube mpaka leo.

Wewe unakuja kutafsiri eti "rushwa yake sio ya ofisi ni ya tabia ya masilahi". Mkuu rushwa ni rushwa.

Kama ni tabia tu ya masilahi, kwa nini UVCCM Dodoma wakasema "tumekanusha tuhuma za rushwa"? Kwa nini Kawaida aseme "kuna vyombo vya chama vya kushughulikia tuhuma za rushwa"? Hivi vyombo vinashughulikia "tabia" au rushwa ya kweli?

Unapojaribu kusafisha neno UVCCM, ndio unazidi kumchafua Mchengerwa. Maana unathibitisha alitukana jumuiya nzima ya vijana wa chama chake kwa kitu ambacho wewe mwenyewe unaita "tabia tu".

Sasa ni nani mpotoshaji? Mchengerwa aliyesema rushwa, au wewe unayempa maana ya upuuzi?
 
UVCCM sasa wanavuka mipaka
Swali langu kama umeangalia video
Kwanini mchengerwa atumie neno
UVCCM?

Kwa mujibu wa sheria ya PCCB, rushwa ni rushwa. Hakuna "rushwa ya tabia" na "rushwa ya ofisi". Ukisema kiongozi wa UVCCM anataka kupewa kitu ndio afanye kazi ya chama, hiyo ndio tafsiri yenyewe ya "use of public office for private gain" - unatumia nafasi yako ya uongozi kujipatia maslahi binafsi.

Usitafute maneno ya kufunika. Mchengerwa alisema UVCCM ni wala rushwa. Wewe sasa unajaribu kumtetea kwa kumtungia maana mpya ambayo yeye mwenyewe hakuisema.

Swali ni: Kama ni tabia tu ya kutanguliza masilahi, kwa nini Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kawaida na Nasra wa Dar wamekasirika kiasi cha kutoa matamko mazito? Tabia tu?
 
Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.

My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Utalia sana mwaka huu
 
Wamekasirika kwasababu wamekosa nidhamu .huko ni kujitutumua maisha hayaendi hvo, mkubwa akiongea ni kupokea badala ya kujibizana naye
 
Huna nguvu, huna hela, hupewi sikio hupewi jukwaa itoshe kusema wewe ni matako
 
Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.

My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Huwezi na haiwezekani kabisa kuweka hekima, akili, busara, werevu, weledi na heshima kwenye kapu moja na CCM na taasisi zake zote.
Haiwezekani kabisa.
 
Sijapendezwa na midahalo inayoendelea mitandaoni nadhani sasa inavuka mipaka, kama vijana (UVCCM) yapaswa mjitafakari kuona haya mnayoyafanya yanaafya au lah! Kuweni na heshima kwa viongozi ndani ya chama, hayo ya kujibizana mitandaoni si desturi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.

Niwaombe UVCCM wote, acheni tabia ya ku exaggerate mambo, tumieni njia ya heshima na busara kwenye kutatua changamoto zenu acheni kujibu hoja kwa kukurupuka. Pia mwenyekiti wa UVCCM Taifa wewe ndiye mwenye uwezo wa kutuliza haya yanayoendelea kwa wenzako.

My take:
Mpaka sasa sijaona kosa la Mh. Mchengerwa, Mh aliongea kama MLEZI pia kwa kuzingatia observation zake, jukumu la UVCCM ilikuwa ni kuyapokea na kuyafanyia KAZI badala ya kujibizana mitandaoni, ni ukweli usiopingika watu wanatanguliza masilahi zaidi badala ya kazi, ni jukumu la UVCCM Taifa kuwakanya watu wako waachane na hii tabia ya kujibizana mitandaoni na Viongozi wakubwa huu ni ukosefu wa nidhamu.
Hawa watoto mmewalea wenyewe kwa tabia hii hii. Walianza kwa Nchimbi na mzee Warioba
 
Back
Top Bottom