Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,489
Reaction score
5,764
Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza.

Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia.

Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna hiyo jukwaani ukiacha hao wachache ambao inshallah wamejitahidi angaa kidogo kuleta tahfif ya mambo ya kihistoria.

Mola azidi kuwatia hikma na busara ili kuweza elimisha umma wake kwa ilimu ambayo itasaidia vizazi vijavyo.
 
Mm nilibahatika kupewa historia ,full package ya baadhi ya watu
Mfano
1.bini titi Mohamed.
2.oscah kambona na wengine baadhi

Nilichogundua yapo mambo yamefichwa na hayapo KWENYE vitabu lakin utayapata kwa kuambiwa na syo kwa kusoma.

So ongeza konyagi ndogo kwa bili yako
 
Mimi ni Mwana Historia mbobevu! Unataka nikupatie historia gani? Ile ya Before Christ (BC) ambayo siku hizi kwenye vitabu vya shule wanaiita Before Common Era (BCE), au unataka Historia baada ya kuzaliwa Yesu Kristo, yaani Anno Domino (AD) ambayo nayo kwa sasa inatambulika kama Common Era (CE)!

Unaitaka historia ya Bara la Afrika kabla na baada ya kuja Wakoloni?

Unataka historia ya Karl Marx na Scientific Socialism, unataka sababu hasa zilizowafanya Wazungu kuja Afrika? Nikimaanisha zile sababu zenye mlengo wa Afro centic views!

Unataka nini kijana? Nikuletee sababu halisi za Zanzibar Revolution na kutelekezwa kwa John Okello, mtu muhimu kwenye yale mapinduzi?

Au nikusimulie sababu hasa ya kuzaliwa kwa Demokrasia Ulaya (Uingereza, Ufaransa, nk) kupitia mapinduzi mbalimbali ya kisiasa?

Kuna Wanahistoria wana sifa ya kufundisha chuo kikuu. Lakini kutokana na kushamiri kwa upendeleo na kukosekana kwa usawa, wamejikuta wanafanya kazi za kawaida.
NB: haya niliyokueleza hapa sijayachukua kutoka chatgpt! Yapo kichwani ok?
 
Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza.

Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia.

Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna hiyo jukwaani ukiacha hao wachache ambao inshallah wamejitahidi angaa kidogo kuleta tahfif ya mambo ya kihistoria.

Mola azidi kuwatia hikma na busara ili kuweza elimisha umma wake kwa ilimu ambayo itasaidia vizazi vijavyo.
Tunaye Mzee wetu Maalim Mohamed Said
P
 
Karibu sana. Na hongera pia
 
Mmmmh ... Nyuzi zake kama mbili naona hazina wachangiaji hazina mijadala mikubwa nlitamani mtu ambaye atakuwa na madini na watu watachangia na kujifunza kwake. Kwa huyu naona bado.
PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

Sal Davis, An Autobiography, Readit/Amazon, 2023, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)

University of Iowa, Iowa City, USA

Northwestern University, Chicago, Illinois, USA

Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED

Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

1793376636960.jpeg

Back
Top Bottom