Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
AsanteNdiyo. Siku hizi tuna BCE (Before Common Era) na CE (Common Era).
AsanteNdiyo. Siku hizi tuna BCE (Before Common Era) na CE (Common Era).
Hicho sio kigezo, Mzee Mohamed. Kama una kawaida ya kwenda kwenye nchi za Western hemisphere lazima utakuwa unajua kwamba those countries do not know a whole lot about Tanzania. Wanajua zaidi kuhusu West and North African countries. Wanazuoni wenye expertise in Tanzanian history ni wachache mno. Kwahiyo, hata biased historians wa aina yako wanayo nafasi ya kuonekana kama resource persons huko!Mtu ...
Tabu kunipuuza.
Uko hapa unanisoma.
Ningekuwa si mwanahistoria nisingealikwa kuzungumza Northwestern University, Chicago.
Hawa ndiyo wanaongoza duniani katika African History.
Pulchra...Hicho sio kigezo, Mzee Mohamed. Kama una kawaida ya kwenda kwenye nchi za Western hemisphere lazima utakuwa unajua kwamba those countries do not know a whole lot about Tanzania. Wanajua zaidi kuhusu West and North African countries. Wanazuoni wenye expertise in Tanzanian history ni wachache mno. Kwahiyo, hata biased historians wa aina yako wanayo nafasi ya kuonekana kama resource persons huko!
Hicho sio kigezo, Mzee Mohamed. Kama una kawaida ya kwenda kwenye nchi za Western hemisphere lazima utakuwa unajua kwamba those countries do not know a whole lot about Tanzania. Wanajua zaidi kuhusu West and North African countries. Wanazuoni wenye expertise in Tanzanian history ni wachache mno. Kwahiyo, hata biased historians wa aina yako wanayo nafasi ya kuonekana kama resource persons huko!
Hata kama atatokea mwanahistoria humu kaandika lakini ni vizuri ukafanya tathmini wewe mwenyewe kuhusu ukweli wa hiyo historia kwa sababu inaonekana kwa kiasi kikubwa Historia hasa ya Afrika iliandikwa kwa upotofu kwa maslahi ya watu fulani.Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza.
Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia.
Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna hiyo jukwaani ukiacha hao wachache ambao inshallah wamejitahidi angaa kidogo kuleta tahfif ya mambo ya kihistoria.
Mola azidi kuwatia hikma na busara ili kuweza elimisha umma wake kwa ilimu ambayo itasaidia vizazi vijavyo.
Umkonto,Hata kama atatokea mwanahistoria humu kaandika lakini ni vizuri ukafanya tathmini wewe mwenyewe kuhusu ukweli wa hiyo historia kwa sababu inaonekana kwa kiasi kikubwa Historia hasa ya Afrika iliandikwa kwa upotofu kwa maslahi ya watu fulani.
Weka hadidu rejea uone vingunge wa historia watakavyotiririkaNimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza.
Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia.
Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna hiyo jukwaani ukiacha hao wachache ambao inshallah wamejitahidi angaa kidogo kuleta tahfif ya mambo ya kihistoria.
Mola azidi kuwatia hikma na busara ili kuweza elimisha umma wake kwa ilimu ambayo itasaidia vizazi vijavyo.
Kosa likirudiwa kwa miaka mingi bado halibadiliki kuwa sio kosa. Kumbuka, hata vitabu vya historia ambayo wewe umeikataa viliandikwa more than 50 years ago na bado vinaendelea kuchapwa!Pulchra...
Sina tatizo na unavyonichukulia.
Nimeandika historia ya wazee wangu na kitabu kipo mwaka wa 26 na kimechapwa mara nne.
Wasomaji wamekipenda mno.
Mimi sishindani na wewe kwa lolote.
Sina sababu.
Nakusoma wapi?Mtu ...
Tabu kunipuuza.
Uko hapa unanisoma.
Ningekuwa si mwanahistoria nisingealikwa kuzungumza Northwestern University, Chicago.
Hawa ndiyo wanaongoza duniani katika African History.
Hata kama atatokea mwanahistoria humu kaandika lakini ni vizuri ukafanya tathmini wewe mwenyewe kuhusu ukweli wa hiyo historia kwa sababu inaonekana kwa kiasi kikubwa Historia hasa ya Afrika iliandikwa kwa upotofu kwa maslahi ya watu fulani.
Pulchra...Kosa likirudiwa kwa miaka mingi bado halibadiliki kuwa sio kosa. Kumbuka, hata vitabu vya historia ambayo wewe umeikataa viliandikwa more than 50 years ago na bado vinaendelea kuchapwa!
Mtu...Historia ipi hiyo iliandikwa potofu?
Mtu...Nakusoma wapi?
Aiseee ... Sijapata nafasi hiyo sijaona ambacho umeandika au haya majibishano mafupi mafupi?Mtu...
JF
Ndo kimepotoshwa? Nlikisoma miaka mingi iliyopita. Sijaona upotofu wake so anaweza akaibuka mlevi yeyote akasema atakavyo. Miaka mingi sana bwana Said. Ndo maana nikaandika wanahitajika wana historia humu watuandikie mambo makubwa muhimu ya watanzania kujifunza.Mtu...
Kitabu cha Historia ya TANU cha Chuo Cha CCM Kivukoni.
Mtu...
JF
Haujawahi kumsoma Ustaadh Maalim Mohamed Said? Yule mzee ana madini hatari shida yake moja tu, mwelekeo wa Kobaz!Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza.
Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia.
Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna hiyo jukwaani ukiacha hao wachache ambao inshallah wamejitahidi angaa kidogo kuleta tahfif ya mambo ya kihistoria.
Mola azidi kuwatia hikma na busara ili kuweza elimisha umma wake kwa ilimu ambayo itasaidia vizazi vijavyo.
Ni mzee? Hapana nmewasoma watu kadhaa ambao nmeona wanastahili pongezi sana. Sijajua unaposema kobaz unamaanisha nini.Haijawahi kumsoma Ustaadh Maalim Mohamed Said? Yule mzee a a madini hatari shida yake moja tu, mwelekeo wa Kobaz!
Namaanisha kazee kale kana udini sana! Hakachelewi kuingiza mambo ya Uislam!Ni mzee? Hapana nmewasoma watu kadhaa ambao nmeona wanastahili pongezi sana. Sijajua unaposema kobaz unamaanisha nini.