Hivi kuna uwezkano ukawa ndani ya ccm na uko kinyume na rushwa seriously na ukatoka salama!?

Hivi kuna uwezkano ukawa ndani ya ccm na uko kinyume na rushwa seriously na ukatoka salama!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Kwa mambo ninayoyafahamu kuhusu chaguzi na mifumo ya siasa za ccm sijui kama kuna namna inawezekana uwe kada wa hicho chama Kisha upinge rushwa kwa dhati kabisa na ubaki salama na usalama wako.

Ukweli ni kwamba labda machawa pekee ndo wanaweza wasijue lakini wana ccm wote huwa wanaelewa kwamba mifumo ya chama chao huendeshwa na kuamriwa na upepo wa rushwa.
Mchengerwa anajizima data tu ye mwenyewe kuna namna nyingi rushwa imembeba mpaka hapo!!
 
Uwezekano huo haupo. Rushwa na ccm ni mwili na damu.
 
Kupata nafasi/cheo ccm msingi wake ni utoaji rushwa
Sasa hapo ni sawa na kuuliza kuna uwezekano wa kuwa na ugali bila unga
 
Back
Top Bottom