Padre Jonathan Mkwizu: Unaweza ukatesa, ukateka, ukaua watu sababu una majeshi - ila, Mungu yupo!

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
 
View attachment 3700219

Yes,
it's very true,
Mungu ni wa wote na hakuna mwanadamu aliezaliwa na mwanamke anaweza kumtisha mwanadamu mwingine kuhusu Mungu.

In fact,
kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake muafaka bila ya kiherehere cha binadamu awae yeyote.

Kuna Abino aliuawa na Padre ili Padre huyo akatambike na kufanya ushirikina ili hatimae ateuliwe kua Askofu.

Mungu pekee ndio anajua adhabu ya haki ya kumpatia Padre yule ambae alimuua binadamu mwenzake.

Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema marehemu yule aliedhulumiwa uhai na yule Padre 🐒
 
Wajibu wako namba moja ni kutii mamlaka. Kama unawajua kuwa wana majeshi na silaha waambie waumini wako watii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa mungu.
 
Punguza makasiriko,chukua ujumbe huo kutoka kwa neno la Mungu!
 
Yes gentleman,
kuchukua ujumbe sio lazima kupiga mayowe jukwaani plz.

Na uko sahihi,
hawa majamaa wanaojifanya wadogo zake Yesu Kristo wa Nazareth, ni vizuri kua nao makini sana, maana, hapo anafundisha hivyo baadae anakwenda kuua albino ili eti akafanye tambiko na ushirikina ili ateuliwe kua Askofu.

Hata kuna mamluki moja,
alihadaa wadau wa Jf kwa kuwafundisha namna ya kujilinda na drama za sijui utekaji na mwishowe akajiteka mwenyewe :pedroP:
 
Acha blah blah,chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!
 
View attachment 3700219
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
Kila siku, kila Kona, serikali ya Samia inapigwa mawe tuu.
 
Acha blah blah,chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!
ujumbe wa neno la Mungu wa kuaminika uko kwenye Bible gentleman, kua makini na porojo na chumvi za hao jamaa maarufu kwa dhuluma za kingono duniani 🐒
 
Wajibu wako namba moja ni kutii mamlaka. Kama unawajua kuwa wana majeshi na silaha waambie waumini wako watii mamlaka maana mamlaka zote zinatoka kwa mungu.
Sio kumtii Mungu kwanza ww mamlaka ndo unaona yanafaa kua no moja aisee? Haya hayo mamlaka kama kama ni batili ama kikundi cha wahuni bado yana ha haki ya kuyatii
 
Angetakiwa aanze hivi “nawahusieni ninyi na nafsi yangu” Yeye mwenyewe anatesa wafanyakazi Henry WINnkel MOLEN primary kama hana akili vizuri watu wamekimbia kazi kwa ajili yake… Ndio mana misalaba inaanguka na kuwaponda madhabahuni, Fanya unachohubiri toa Boriti kwanza kwenye jicho lako.
 
Back
Top Bottom