Padre Jonathan Mkwizu: Unaweza ukatesa, ukateka, ukaua watu sababu una majeshi - ila, Mungu yupo!

Padre Jonathan Mkwizu: Unaweza ukatesa, ukateka, ukaua watu sababu una majeshi - ila, Mungu yupo!

Basi ingia na wewe uhubiri unachoona kinafaa.
Mimi nahuburi neno la Mungu ili kuwafanya watu wauone USO wa Mungu, Ili kuwafanya watu waachane na dhambi ili kuwafanya watu wauone uzima wa milele, sihubiri udabwada kama huo wa padri
 
ujumbe wa neno la Mungu wa kuaminika uko kwenye Bible gentleman, kua makini na porojo na chumvi za hao jamaa maarufu kwa dhuluma za kingono duniani 🐒
Chukua ujumbe kutoka neno la Mungu!
 
View attachment 3700219
Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine

Mungu sio rafiki wa yoyote

MUNGU kujua ukweli sio lazima Binadamu yoyote kuchonga chonga Domo

kwakeYeye huwezi kumdanganya kama mjomba Lissu anavyodanganya
Nyumbu mitaani kwamba kwanzia J3 naanza Mgomo wa kula !!!

lkn kumbe yeye ndani kwa ndani kule anabunganya Dona la Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa tabasamu kubwa!!!!

Kwaiyo Mungu mkuu anajua yote kama kweli Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kapiga yoyote japo fimbo tu Sembuse risasi!!

Mungu hadanganyiki so endeleeni kupiga ngumi hewani ✍️
 
"Mungu yupo" ni kauli ya kujifariji tu.

Ila kwenye msiba tunaiachia tu kwa sababu watu wanaoomboleza msibani kwa kujifariji Mungu yupo kuanza kuwabishia inaweza kuwa ni ukatili mkubwa sana.

Watu washafiwa, wamekubali, wanajifariji Mungu yupo, unawaondolea faraja yao tena? Sio ukatili huo?.

Ila katika mapinduzi Mungu yupo inaweza kuwa silaha ya kuunganisha wapambanaji, au hadaa inayochelewesha ukombozi.

Unaonaje, yule Kinjekitile Ngwale alikuwa ni shujaa kwa kuwaunganisha watu wapigane na Mjerumani wakiamini risasi zitageuka maji, au alikuwa kawachuuza waafrika wakauawa kwa mafungu?
Nakubali hoja yako. Lengo lao kubwa ni kupata pa kuegemea.
 
Angetakiwa aanze hivi “nawahusieni ninyi na nafsi yangu” Yeye mwenyewe anatesa wafanyakazi Henry WINnkel MOLEN primary kama hana akili vizuri watu wamekimbia kazi kwa ajili yake… Ndio mana misalaba inaanguka na kuwaponda madhabahuni, Fanya unachohubiri toa Boriti kwanza kwenye jicho lako.
October naye alishika mtutu ?
 
Back
Top Bottom