Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amewakosoa baadhi ya waandishi wa habari na wadau kwa kujenga mtazamo wa hofu unaoua taaluma ya uandishi wa habari badala ya kutumia fursa na sheria zilizopo kupata taarifa.
Amezungumza hayo katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote (IDUAI) ambapo kauli mbiu ni "Kulinda Uadilifu wa Taarifa Katika Zama za Kidijitali”, leo Septemba 28, 2026.
Amesema "Kuna suala limeanza kuwa kama ugonjwa, linakwenda kuua Uandishi wa Habari, kila anayesimama: 'Hofu! Hofu! Hofu!' Haya nikukuita pembeni kukuuliza hofu yako ni nini, 'Ah, nimesikia tu kwenye vikao!' Uma hofu ya nini?
"Mnazungumza hofu bila kujua madhara yake, wale vijana wanaoanza kazi leo, kila mtu anasimama anasema 'nina hofu, nina hofu'... ya nini?
Pia soma ~ Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Upatikanaji wa Taarifa kwa Wote, 28/09/2026