Madereva waligoma wakidai baadhi ya haki ikiwemo zuio la jaribio la ukataji wa pointi kwenye leseni, mgomo huo ulidumu kwa siku 2 na ya 3 mabasi yalianza kurejea taratibu.
Baada ya mgomo huo, siku kadhaa kupita baadhi ya viongozi wa madereva walifanya mkutano na waandiahi wa habari wakidai dereva mwenzao amechukuliwa na watu wasiojulikama huku wakidai arejeshwe.
Pia soma: Dereva Kateba atekwa na watu wasiojulikana, Madereva wataka apatikane akiwa hai
Ila za chini ya kapeti ni kuwa wapo watu wengi zaidi madereva wa mabasi waliopotea kwa staili hiyo ambao ni madereva na hali mbaya.
Tuendelee kulinda amani wakuu huku tunakufa mmoja mmoja.
simu kutoka Jeshi la Polisi na kufika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), ambako walikutana na kamanda wa polisi.