Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

Hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali akaitupe bar

YoungPastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,031
Reaction score
1,940
Hakuna mtu anayetafuta pesa kwa mishe, kazi na biashara, akaitupe bar na kuondoka atakuwa na wazimu, wengi wanatumia pesa za wizi,hongo na dili haramu.
FB_IMG_1793107945424.jpg
 
Kunywa bar kwa kutumia mshahara wako halali ni matumizi ya jasho lako.

Ila kutumbua pesa bila akili hadi kufilisika ndio kunakomfanya mtu aonekane ana wazimu au pesa hiyo haina uchungu kwake.
 
Back
Top Bottom