Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Huu mtindo wa Bar nyingi kuwatumia wanawake/ mabinti barmaids kwa kuwavalisha mavazi ya aina fulani ili wawe kama chambo/ kivutio cha biashara zao kingono una tofauti gani na uendeshaji madanguro (brothels)?
Nafikiri umefika wakati sasa serikali itambue rasmi biashara za danguro na itofautishe na bar.
Nafikiri umefika wakati sasa serikali itambue rasmi biashara za danguro na itofautishe na bar.