Bar kutumia wanawake maids kama kivutio cha biashara ni sawa na biashara ya danguro?

Bar kutumia wanawake maids kama kivutio cha biashara ni sawa na biashara ya danguro?

Hapana mkuu. Kufananisha bar na danguro umeenda mbali sana. Kuajiri wanawake wenye mvuto ni mojawapo ya business strategy ya Bar kama ilivyo kwa Air Hostesses.
Sina shida na kuajiri wanawake wenye mvuto, bali sare wanazovalishwa wanawake bar nyingi kubwa siku hizi mfano skin tight ni kwa ajili strip club zaidi au labda gym, beach
20260622_000826~2.jpg
 
Sina shida na kuajiri wanawake wenye mvuto, bali sare wanazovalishwa wanawake bar nyingi kubwa siku hizi mfano skin tight ni kwa ajili strip club zaidi au labda gym, beach
View attachment 3612758
Hapo utajikuta wateja wapo caunta tuu kule kwenye taa yenye mwanga mdogo hawapo.
Au utakuta wanajazana VIP room😂😂😂😂😂😂😂
 
Sina shida na kuajiri wanawake wenye mvuto, bali sare wanazovalishwa wanawake bar nyingi kubwa siku hizi mfano skin tight ni kwa ajili strip club zaidi au labda gym, beach
View attachment 3612758
Mkuu Bar ni eneo la kufanyia dhambi ndo maana bar nyingi zina guest house. Uvaaji wa hivyo ndo mzuri kwa eneo kama lile.
 
Mkuu udhaifu mkuu katika maamuzi ya mwanaume ni mvuto wa mwanamke. Hivyo mwanamke akijiweka katika mazingira ya kuvutia na kutamanisha uwa na uwezo wa kumfanya mwanaume afanye maamuzi kulingana na matakwa yake. Kwa ufupi mvuto wa mwananmke umfanya mwanaume apoteze uwezo wa kutumia akili maarifa, ujasiri na uzoefu katika maamuzi, na hiyo ndio sababu sehemu yeyote yenye ushindani au ugumu mwanamke akiwekwa na kukaa nusu uchi wanaume uvutika. Hii ndio sababu hotel, movie industry, unenguaji, cruisine, casino, TV shows n.k uwaweka wanaweke mbele wakiwa kimahaba ili kuwavutia wateja ambao wengi huwa ni wanaume. Jiulize kwa nini wanawake wanalazimika kukaa 90% uchi kwenye mashindano ya U miss. Aidha wanawake nao wanajua mvuto na nusu uchi ni salaha yao kuu ndio maana akitaka kumtega mtu lazima akae kihasara hasara.
Mtego wa nusu Uchi uliwashinda wababe na watakatifu kadhaa wakiwemo Mflame Daudi, Suleiman, Samson na Bingwa Adam n.k.
Shetani naye anaijua hii ndio maana maeneo yote yenye ushetani mkubwa mara nyingi wananwake walio nusu uchi uwekwa mbele.
Nasi wanaume tukiona mwanamke akiwa uchi hasa kutokea behind ata akiwa kichaa akili zinahama.
Mungu atusaidie sisi na vizazi vyetu tushinde vishawishi vya Shetani.
Note siyo kila mwanamke utumia njia ya kuuweka rehani utu wake ili kufanikisha mambo yake. Wapo wanawake mashujaa, wanaojiheshimu na ambao wanafanikiwa kwa bidii na akili bila mwili wao kudhalilika.
 
Back
Top Bottom