Bar kutumia wanawake maids kama kivutio cha biashara ni sawa na biashara ya danguro?

Bar kutumia wanawake maids kama kivutio cha biashara ni sawa na biashara ya danguro?

Kiufupi Bar nyingi zinatumia mbinu zinazofanana na madanguro kuvutia wateja.
 
Hayo ni mavazi sahihi sehemu ya starehe ' bar ', mademu lazima wavae hivyo na hata offa unampa, unakunywa bia nyingi kwa sababu ya mvuto wa binti.
 
Hayo ni mavazi sahihi sehemu ya starehe ' bar ', mademu lazima wavae hivyo na hata offa unampa, unakunywa bia nyingi kwa sababu ya mvuto wa binti.
Sio lazima wavae hivyo, ni ubazazi wa wamiliki na wanaume tu ndio unawalazimsha kuvaa hivyo.
 
Sidhani kama utakubali watu wakasafishe macho juu ya mwili wa binti yako kisa anatafuta kuishi tu.
Kama nature imeamua iwe hivyo, huwezi kuipinga. Hivyo kubaliana na uhalisia.
 
Kuna bar ilikua pembeni ya kituo cha mwendokasi kinondoni B, upande wa kulia kama unaenda Morocco, wahudumu wote ni watu wazima ..miaka Fulani niliwahi kwenda pale jumamos, kuanzia jioni saa kumi mpaka wanafunga wateja tulikua wawili tu
 
Kuuza mwili wako ni hatua ya mwisho kabisa ya kujidhalilisha na kutokujithamini,

Placing a financial value on your own body is insane!
 
Yaani kun vitu mnalazimisha bure,na kuichosha serikali tukufu ya JMT.

Yaani kwa akili zako timamu unatoka kwako unaenda bar na bado unataka kuwapangia walevi namna ya kutumia hela zao.Kama unapenda pombe bila kashkash nunua unywee nyumbani kwako.

Baa ni sehemu ambapo lazima pawepo na vitu vya msingi kama WANAWAKE WAZURI(PISI KALI), NYAMA CHOMA NA DJ ANAYEIJUA KAZI YAKE.

Nyie walokole huku mmepotea,wacheni mchezo mnataka baa iwe kama kanisa au msikiti.Kama unapenda sana maadili hata pombe usinywe wewe kakeshe misikitini na makanisani.
 
Back
Top Bottom