Lake zone Huu utaribu mmeiga wapi, pub, Bar Eti unalipia 10,000 unamtoa mhudumu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Walevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama.

Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko Kagera, mwanza, mara, kigoma, katavi , rukwa nilishangaa utaratibu wa bar za huko, Sasa sijui upande wa kanda tajiri yani mashariki na kaskazini Kuna utaratibu huu, Ukienda bar kunywa kwanza utakuta wahudumu wakutosha na wanaingia Kwa shift, Sasa wao wanakunywaga bia za bei Kali Kali tu B...tal, sa.....na, etc wao hizi bei chee hawataki japo hawanunui wao,

Sasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei sana, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu
 
Sasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei san5a, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu
Kwa maana nyingine hiyo ni biashara haramu ya kuuza ngozi za binaadamu,je mamlaka zinazo husika na human trafficking zipo wapi ama biashara ya madanguro inalipishwa kodi hivi sasa?
 
Sasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei sana, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu
Hizo sio bar ni Modified Danguro
 
Walevi Oyee, Wakeshaji Safi, CCM , CHADEMA, ACT CHAUMA OYEEE, Huku kwenye mabaa hamna mambo ya uchama.

Sasa walevi , wale wa kukesha kwenye bar, Pub nilitembea mikoa ya kanda ya ziwa huko Kagera, mwanza, mara, kigoma, katavi , rukwa nilishangaa utaratibu wa bar za huko, Sasa sijui upande wa kanda tajiri yani mashariki na kaskazini Kuna utaratibu huu, Ukienda bar kunywa kwanza utakuta wahudumu wakutosha na wanaingia Kwa shift, Sasa wao wanakunywaga bia za bei Kali Kali tu B...tal, sa.....na, etc wao hizi bei chee hawataki japo hawanunui wao,

Sasa chakushangaza hawa ni watu gani utaratibu wao wa kazi unaruhusu mfanyakazi kutoka kazini muda wowote Kwa malipo ya 10,000 Kwa mwenye bar. Yani nimeshangaa , unalipa 10,000 Kwa meneja wa kaunta halaf mtu anaondoka kazini. Siongei sana, hivyo baa nyingi zinafanya hii kitu katika mikoa hiyo , ni kama biashara ya binadamu
Hizo zote ni ARV boss
 
Back
Top Bottom