ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe
2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru
7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi
8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Soma Pia: Mwanza: Auawa na mabaunsa kisa Tsh 8000