Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

Alikunywa akashindwa kulipa bill ya Tsh 8000,akapishana kauli na kaka meneja ikabidi mabaunsa na wahudumu waanze kumshambulia Kwa vyuma,mbao,mateke ,ngumi.Alifia hospital baada ya kujeruhiwa
Nimeiona ila sikuwa najua kama ni wa kwetu huyu🤦🏽‍♀️ Aiseee!! Ile bar huwa imejaa malaya pale nje au ni diamond?
 
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
Bar hawaende chukuchuku 🤣
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
Wahuni hawachekeshi watakufirimba 🤣
 
Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote

Hii ni elimu ya mtaa

1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe

2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele

3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku

4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia

5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.

6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru

7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi

8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe

9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa

10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Yani niende kula bia nmebeba silaha...

Inakua starehe au nimeenda vitani?

Nadhani kuna aina ya bar na mikoa pia inachangia...
 
Chai
 
Mwamba kauliwa kwenye kiwanja changu cha nyumbani kabisa LAS VEGAS, R.I.P kwake. Sema mle tunakutana wababe tu na tukishalewa tunarushiana chupa za konyagi kama tunacheza mdako. Mle tunaingia wakurya kutoka kwenye vilima vya walunguli na kidogo wajaluo,wajita na wasukuma kwa mbali maana hao tukilianzisha vagi tunalianzisha kweli
Chai
 
Back
Top Bottom