Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Hahaha. Aisee.Ni vichaa wanajiita wababe.
Wababe wanarushiana risasi sio chupa.
Hahaha. Aisee.Ni vichaa wanajiita wababe.
Wababe wanarushiana risasi sio chupa.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs,
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Naongezea
1.Kama hakuna ulazima nenda kwenye local bar ,yaani msizidi watu kumi.
2.Chagua bar zako muhimu,yaani uwe unakopesheka.
3.kwa mfano unataka kunywa bia 10, basi kuwa na pesa mara mbili yake au zaidi.
4.Epuka kuongea Sana na kujikweza uwapo bar.
5.Tengeneza urafiki na wahudumu wa ikiwezekana uwe na tabia kuwanunulia bia soda na kadhalika,hii code nawapa bure,kama unapenda starehe acha uchoyo.
Utakuja kuepushwa na mengi ukiwa na urafiki na muhudumu.
6.Acha tamaa,
Mademu wengi wa bar huwa wanawasaliti waziwazi mabwana zao wa muda mrefu kisa hela zako wewe mpira njia,sasa kama huna akili timamu utatumia mwanya huo kupora na kutembea na mademu za watu, bro moja ya sababu Kwa asilimia nyingi ni ugomvi wa mademu,watu wanakutafutia kisa, hebu waza unadhani buku nane zilisababisha watu wapigie mtu kiasi hicho,ni ugomvi mwingine tu
Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewaSijaelewa mantiki ya mtu kukopesheka bar?
Beer sio basic need, Kama huna hela agiza maji angaria mpira sepa, Au usiende kabisa.
Ila ukianza kuona unakopa mpaka beer, basi kichwa chako kina shida.
Tukitoka twende kwa tunza💃🏽Achana nae, Twende malaika beach 🤪
Yes Kuna muda unaenda kunywa bia zako za buku kumi mara bili hiyo elf 60Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewa
Hapa nilipo nadaiwa milioni moja na elfu sabini bar tofauti tofauti
Mimi naweza kuwa Nina elfu 50 lakini naenda na wadau tutakunywa hata kufikisha bili ya laki tano tena hizi hizi local beer 2500
Umenikumbusha kuna huyo wakili mtaani kwetu akienda kulewa anaacha madeni analewa mpaka anazima analala hukohuko kesho yake unamkuta analipa madeni lohh🙌🏾Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewa
Hapa nilipo nadaiwa milioni moja na elfu sabini bar tofauti tofauti
Mimi naweza kuwa Nina elfu 50 lakini naenda na wadau tutakunywa hata kufikisha bili ya laki tano tena hizi hizi local beer 2500
Kawaida Sana hiyoUmenikumbusha kuna huyo wakili mtaani kwetu akienda kulewa anaacha madeni analewa mpaka anazima analala hukohuko kesho yake unamkuta analipa madeni lohh🙌🏾
Wewe siyo mlevi ,walevi watanielewa
Hapa nilipo nadaiwa milioni moja na elfu sabini bar tofauti tofauti
Mimi naweza kuwa Nina elfu 50 lakini naenda na wadau tutakunywa hata kufikisha bili ya laki tano tena hizi hizi local beer 2500
Kulala bar? Gari unaacha huku kulala unalala kule unaondoka ijumaa unarudi j3🙆🏽♀️Kawaida Sana hiyo
Tukitoka twende kwa tunza💃🏽
Kulala bar? Gari unaacha huku kulala unalala kule unaondoka ijumaa unarudi j3🙆🏽♀️
Namimi ndivyo ninavyojua! Ukitoka na watu wanaoeleweka kazima ulewe kwa kujiachia hata ikitokea fujo au umezima kwa kuchanganya vikali wanakurudisha safe home, sasa mtu unalewa kimbwa kweli! Kuna jamaa huku kwetu alikuta hormus wazi hayo mambo ya kulala mitaroni kisa umelewa!Hao ndo walevi choka mbaya, Madeni yote hayo analewa na malaya au, kwasababu kama umetoka na washkaji kweli hawakuachi umelewa bar hata siku moja.
Either wakukokote home au wakukodishie chumba ulale.
Pametulia sana ukipata muda wa kutulia hata week utaenjoy sana! Hakuna mavurugu vurugu ya kijinga unaenda sehemu unatulia unakula upepo wa beach tu!Hahah, mwanza nilipita mara moja tu kama siku3 nikatokea kupapenda.
Umeandika vitu 10 ila kuna vitu umevisahau na ndio vitu vya muhimu zaidi10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Ko pale Bambalaga ulikua ukiingia lazima uwe na NIDA au? LolSasa hapo unaenda bar au vitani? Mbona tactics nyingi sana?
Kuna sehemu kiwanja Dodoma inaitwa Bambalaga mwanzoni ilikua hauingii kama upo upo tuu hata kama upo full loaded na millions, naona sasa hivi wamelegeza yeyote tu anaingia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda bar unaingia tu unakuta watu wana makovu wahudumu matusi ya kutosha... mabaunsa wamevaa kaoshi, ngeu za kutosha... Masela kibao... malaya wamemwagika... vyoo vichafu kinoma, kaunta hakueleweki... nje boda vindala zimepaki nyingi kuliko usafiri wowote. Music ni ule wa kelele n.k
Bobu kimbia au fuata masharti ya mtoa uzi umeingia uwanja wa vita sio bar[emoji3][emoji3][emoji3]